Ungoing Penile erection

Ungoing Penile erection

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
Habari wakuu,yapata wik 2 sasa nimekua nikitokewa na hali ya uume kusimama kwa more than 2-3 hours bila kurejea katika hali yake hasa kuanzia saa10 usiku mpaka sa moja, JE tatizo yaweza kua nini na nini nifanye,msaada zaidi😕
 
Back
Top Bottom