JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limedai kuwa mataifa tajiri Duniani yanahatarisha maisha ya watoto kutokana na uzalishaji mkubwa wa gesi za sumu zinazoathiri afya zao.
Kituo cha Utafiti cha UNICEF kimetafiti mataifa 39 ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo (OECD) na Umoja wa Ulaya (UN) na kusema kuwa baadhi ya mambo yanayochangia ni matumizi ya dawa za kuulia wadudu shambani, kiwango cha unyevunyevu nyumbani, madini ya risasi kwa watoto, kupata mwangaza na uzalishaji wa uchafu.
Matokeo ya utafiti huo yameonesha kuwa Hispania, Ireland na Ureno zimefanya vizuri zaidi kwenye maeneo hayo, lakini hakuna nchi iliyotafitiwa ambayo imegundulika kuwa na mazingira mazuri kwa afya za watoto.
Source: Republic World