ninosi
Senior Member
- Jun 30, 2022
- 151
- 333
Mnamo 18/10/2022 UNICEF Tanzania iliingia mkataba na Yanga SC wenye lengo la kuunga mkono jitihada za Serikali kupambana na magonjwa ya COVID 19 na Ebola.
Mkataba huo ulianza kutekelezwa siku 5 kabla ya mechi ya jana dhidi ya Club Africain ambapo, UNICEF Tanzania walinunua tiketi 10,000 za mechi hiyo. Ili uweze kupata tiketi hiyo ulitakiwa uchomwe chanjo ya COVID 19!
Katika kuhakikisha kua zoezi hilo linafanikiwa ilitumika nguvu kubwa kutangaza zoezi hilo, ikiwemo kutumia kispika (japo walimponda sana Ahmedy Ally pale anapokitumia), lakini zoezi likabuma.. Kwanini nasema limebuma? Angalia mahudhurio ya mashabiki wa Yanga SC jana Taifa. Ni Aibu!
USHAURI WANGU KWA UNICEF TANZANIA:
Siku nyingine mkiwa na jambo lenu, tafuteni timu zenye fan base kubwa ambayo inajielewa na si kuokoteza timu mitaani.