title ya thread haina connection na maelezo uliyowasilisha.....au nimesoma vibaya!!?.Habari zenu wakubwa,ebana jana ucku nimepokea txt kutoka kwa mmanzi wangu wa zaman yenye hayo maneno hapo juu,me nkawa nimekausha tu niusome mchezo kwanza,ikapita ka nusu saa,akanitumia tena txt nyngne akiniomba samahan,kwamba alikosea namba coz kuna mkaka anamsumbua na amemjbu hvo kiukali ili asiendelee kumsumbua,me kwa kwel cjamjbu chochote.sasa wakuu,ebu tuambiane kiutu uzima,ni kweli kwamba huyu mmanzi alikua kakosea namba au kuna namna nyingne ana maanisha hapo?
title ya thread haina connection na maelezo uliyowasilisha.....au nimesoma vibaya!!?.
ndo nataka kujua ana maana gan mkuu,maana me chemistry ya wanawake siilewi kabisa.
jaribu kuposti kistaarabu kuhusu wanawake napita tu hapahabari zenu wakubwa,ebana jana ucku nimepokea txt kutoka kwa mmanzi wangu wa zaman yenye hayo maneno hapo juu,me nkawa nimekausha tu niusome mchezo kwanza,ikapita ka nusu saa,akanitumia tena txt nyngne akiniomba samahan,kwamba alikosea namba coz kuna mkaka anamsumbua na amemjbu hvo kiukali ili asiendelee kumsumbua,me kwa kwel cjamjbu chochote.sasa wakuu,ebu tuambiane kiutu uzima,ni kweli kwamba huyu mmanzi alikua kakosea namba au kuna namna nyingne ana maanisha hapo?
Wa dizaini hii hawakawii kukwambia kuwa phone yake ilikuwa hacked! watoto wa siku hizi bwana!hata kama alikuacha au alikuwa na mpango ila sasa hivi kaona abadili mawazo
Smile si unajua hawa wakenya ndo wanawaida wadada Mmanzi hehehe.sisi sijui huyu wa pande hizojaribu kuposti kistaarabu kuhusu wanawake napita tu hapa
Kuna ujumbe anataka kukupatia, tafakari!lakn mbona tuliachana kwa aman tu na bado tukawa tunawasiliana ka marafik wazur tu,sa iweje leo anitukane hvo?
nimerudia huku nikiwa nimevaa na glass za kusomea lakini sion kitu.:eyebrows:rudia kusoma tena mkuu.