''unikome, ***** mkubwa wewe''

''unikome, ***** mkubwa wewe''

Hivi umeelewa kweli kinachozungumziwa hapa?

Ukiona hivyo ujue hata wewe chemistry ya mamanzi huijui. kwa ufupi huo ni uchokozi na akiingia kichwa kichwa nakwenda na maji.
 
Kuna mawili,
1.either maelezo yake ya kweli
or alikuw na mwanaume mwngne akaandka hvyo kumridhisha baada ya kubanwa kuhusu wew..imewah ntokea mim ilinichukua mwaka kuja kugundua baada ya kuunganisha matukio..cha mhimu ni kutumia busara zaidi na sio kukurupuka kuamini kirahisirahisi
 
Kama ulimuacha kwa kisingizio cha umalaya anakuonesha kuwa ulikosea, yy sio malaya wa kumkubalia kila rijali, kazi kwako
 
Back
Top Bottom