''unikome, ***** mkubwa wewe''

Kama kweli wewe ni malaya, ujumbe unakuhusu, kama sivyo, basi ni kweli alikosea.
jipime mwenyewe.
 

Usilalamike kwa Dr Ndalichako kwa Div 4 uliyopata kidato cha 4.
 
Huyo "manzi" wako ni mgonvi na mwenye mpenda matusi (kutukanana). Hapo alikuwa akitukanana na malaya wengine na kwa bahati mbaya meseji ilikuja kwako . Cha maana hapo umeelewa tabia ya "manzi" wako! Mchunguze vizuri, kama anakufaa.
 
Ukiona hivyo gari limeishiwa mafuta anataka kuingia petrol station kujaza ili aende zake...upo hapo?
 
Kakufikishia ujumbe, kama kweli u malaya jirekebishe. Pia yawezekana anataka kurudisha mahusiano yaliyokatika. Inawezekana pia amekuona umezidisha umalaya anataka kukuepusha na mauti ya mapema mapema. Pia yawezekana anataka kurudisha mahusiano akuambukize ukimwi mfe pamoja. Acha ZINAA ukishindwa tumia KONDOMU utamu wa muda mfupi usikugharimu maisha yako.
 
baby come.......hiyo lakini ganda kama maziwa ya mgando...........
 
Njia rahisi yakutaka kuongea nawe .

Amekukamata pabaya ukimjibu tu basi ..
Kasha weka tick kwenye box ...

kwa hiyo ni vyema apige ganzi kama hataki shari...............
 
Ujumbe kwa hisani ya watu wa marekani..........................
 
Sio kila mtu anauwezo wa kuelewa thread.. tumetofautina akili..na ukiona huelewi jua si level zako.. "mentally immature" ujumbe huu ni kwa wanaodai hawajaelewa..

..Mtoa mada huyu binti kamaanisha alichokiandika..kazi kwako.
 

anataka kurudi kiaina huyo mkuu kamata piga halafu unapata kitu cha big G anatafunwa kisha anatemwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…