''unikome, ***** mkubwa wewe''

Sawa mliachana vizuri, ila ndo akaingia kwa jamaa ambaye ni malaya. Sasa kaligundua hilo na ameona heri arudi kwako ambaye sio malaya. Kazi ni kwako, kwa huyo malaya anarudi akiwa salama? Na unajua amejifunza nini huko? Power to you!
 
kuna mawili.
1: kakosea kweli
2: alitaka ujue hana mpango na wengine (bado anakufeel)
Kama ni 2, tulia muda si mrefu atakuja na kitu kingine utacomfirm na kuamua cha kufanya! Sometimes unahitaji kuachana na mtu kujua ni jinsi gani wampenda!
 
my take as woman huyu hajakosea namba sema anataka kurudi kwako na hiyo ndio gia ya kwanza have nice ijuma lots of dream but not wet ones jane
 
tegemea mtaachana soon. kitakachofuata atakufanyia kituko ambacho kitakufanya umtukane hilo tusi na yeye atakujibu kwa matusi mfululizo. mwisho wa siku atakuambia hakutaki. na ukimuomba msamaha ataanza kuwaambia marafiki zake kwamba haachwi anaacha. stuka.
 

ok,thanx.
 
ulivyomchanganya na yeye anataka akufanye hivo hivo.
 

Hivi umeelewa kweli kinachozungumziwa hapa?
 
Hebu jiulize mwenyewe kama wewe ni malaya kweli au la. Kama wewe ni malaya basi umkome maana bibiye hataki malaya . Lakini kama nafsi yako inakushuhudia kwamba wewe sio malaya basi msamehe hakukusudia kukutumia wewe
 

alichomaanisha ni kwamba kakosea namba,amini hivyo na uendelee na mambo yako.
 
Senetor nakushauri uendelee hivo hivyo...suimjibu tena kisha uone atachukua uamuzi gani... nadhani text itayofuata ni "umenisamehe"? LOL
 
she is just pretending,her aim was to let u know that she cant cheat on u,but those of her aim they know how to cheat on their men!wake up
 
Ukunyosheaje Kidole, Vingine vitatu vinamuelekea yeye! wewe uchune tuu. Kakumiss huyo.
 

habari ndo hiyo, kishakupasha kiaina
 
Dogo senator naona umekula ban, hii account nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…