Kuna mawili,
1.either maelezo yake ya kweli
or alikuw na mwanaume mwngne akaandka hvyo kumridhisha baada ya kubanwa kuhusu wew..imewah ntokea mim ilinichukua mwaka kuja kugundua baada ya kuunganisha matukio..cha mhimu ni kutumia busara zaidi na sio kukurupuka kuamini kirahisirahisi