Unikome, Sikutaki Tena, kumbe 'Unanichezea Bure'

Köngosho, msome mwali vizuri. Alichosema ndicho sahihi. Na hapo kwa ufafanuzi kwa hisani ya mwali, kuchezewa haimaanishi mwili bali MUDA. Karibu Guines hapa Tongori.
 
@EMT, asante kwa mchango mkubwa.

Kwa hiyo kuchezewa inakuja pale mmoja anapowekeza/kuwa na hisia za ukweli katika mapenzi.

What if mtu kawekeza kwa mwanamme/mwanamke ambaye keshaoa/kuolewa, ana haki ya kusema kachezewa?

Na kusema umechezewa ni sawa? Kwa nini isiwe tu kwa mahusiano yamefika mwisho na kila mmoja yuko responsible na maamuzi yake tangu awali?
 
ha ha ha ha, hao nao huwa ni noumer.
Bora umtoe afu akupige chini yeye, ila ukianza wewe lazima upate laana zote.

Mara nyingi mgogoro unakujaga unapomtoa bikra binti then baadae unakula kona kwenda kumtoa mwingine...
Huko nyuma ndo hayo maneno hufuata....
 
Köngosho, msome mwali vizuri. Alichosema ndicho sahihi. Na hapo kwa ufafanuzi kwa hisani ya mwali, kuchezewa haimaanishi mwili bali MUDA. Karibu Guines hapa Tongori.
Asante babu. Nilisema kupoteza refers to muda, na kuchezewa refers to mwili.
But I guess terminologies zinaweza kua interchanged.
 
Unajua 'reward' katika mapenzi nayo ni complicated kidogo.

Kila mtu anakuwa na hitaji tofauti, ila hebu rudi kwenye koment yangu uliojibu hii, nimeongeza swali hapo.

Mmoja anatoa kwa kusubiri malipo (reward)
wakati mwengine anaji-enjoy full time.
Ikiwa ni mapenzi ya kweli na wote wana-enjoy,
huwezi sikia msichana akilalamika kua alichezewa
 
Unajua 'reward' katika mapenzi nayo ni complicated kidogo.

Kila mtu anakuwa na hitaji tofauti, ila hebu rudi kwenye koment yangu uliojibu hii, nimeongeza swali hapo.

Unajua unaweza mtendea binti vitu hadi aone hakuna unachostahili kuzawadiwa zaidi ya ZAWADI YA USHINDI
 
Kimwili wote wanafurahia sana tu...ila km hakuna future ndo mmoja anakuwa kachezewa
Kuna tofauti kubwa kati ya
- kushiriki tendo ninalo furahia kwa sababu maalum ya kutafuta furaha,
- kushiriki tendo ninalo furahia kwa sababu maalum ka kutafuta reward.

Imagine unapokea mgeni nyumbani kijijini. Unamchinjia kuku na mnakula wote mnaridhika.
Kumbe kimoyo moyo wewe ulitegemea anakuja kukualika ukamtembelee dar mjini
Na ndio maana ya kumpokea kwa shangwe, na kumchinjia kuku (vingine angepewa dagaa)
Sasa asipo kualika ukamtembelee, utasema amekupotezea kuku wako, ingawa na wewe ulifurahi kumla.
It is the same: Ingawa wasichana hao wanafaidi tendo wangejua kua huna nia ya kuwapa reward,
wangekataa 'kuchezewa mwili na kupoteza muda' They'd save it for somebody else.
 
Mwali hebu njoo nikuchezee. Kongosho asijue lakini.
 
@Mwali; Kwa mfano wako hakuna alitechezewa kwakuwa aliyeandaa chakula km angelamishwa angelaumu ila kwa kuwa kakubali mwrnyewe na matatajio ya rewards hayajatimia basi imekula kwake....
 
Muda wa kwenda wapi?

Unakuta mtu kaolewa analia kibuzi kinamchezea?

Mtu aliyeolewa naye anapotezewa muda jamani?

Köngosho, msome mwali vizuri. Alichosema ndicho sahihi. Na hapo kwa ufafanuzi kwa hisani ya mwali, kuchezewa haimaanishi mwili bali MUDA. Karibu Guines hapa Tongori.
 
Why not? lengo/reward sio ndoa tu, nimesema ni vingi
Kuna mtu anakaa kama nyumba ndogo for ten years,
anategemea watamuacha bi mkubwa wamuoe yeye
anategemea atajengewa nyumba, watoto wake watasomeshwa
wadogo zake watalipiwa chuo, atanunuliwa starlet na kuanzishiwa mradi etc.
Nia yake katika kutoa anacho kitoa ni kutegemea hayo yote yatatimia
sasa akija kuelewa kua mwenzie anafaidi tu yale mahusiano bila kupanga hivo
ndio anagundua kumbe alikua anapoteza muda na anachezewa mwili
hapo muda na mwili unatumiwa kama currency ya kujitafutia kitu zaidi ya sex na mapenzi.
 
@Mwali

nadhani matarajio ya mapenzi yasipofikiwa ndo kunakuwa na kuchezeana.
 
Muda wa kwenda wapi?

Unakuta mtu kaolewa analia kibuzi kinamchezea?

Mtu aliyeolewa naye anapotezewa muda jamani?

Cheater yoyote anaelia kuchezewa ni MNGESE na Kicheche mwizi. Ukimwona mwambie nimemtukana eti. ***** zake!
 
@Mwali; Kwa mfano wako hakuna alitechezewa kwakuwa aliyeandaa chakula km angelamishwa angelaumu ila kwa kuwa kakubali mwrnyewe na matatajio ya rewards hayajatimia basi imekula kwake....
Ni kweli kabisa, ila mi naongea kwa perspective ya huyo
anae jaribu kupata zaidi ya makubaliano.
yeye atasema kua kapoteza kuku wake, atasema kapoteza muda wake.
whether she/he is right or wrong ni suala lingine.
Mi najibu swali tu: kwa nini mtu anahisi kachezewa.
 
@Mwali

nadhani matarajio ya mapenzi yasipofikiwa ndo kunakuwa na kuchezeana.
Sio ya mapenzi tu.
Mi nadhani mapenzi ya kweli hayana kuchezeana, wote mnapenda, wote mna-enjoy
Na ikitokea mapenzi yaishe, hakuna regret, mnaachana roho safi, mnakumbukana kwa uzuri.
ukiona watu wanasema vya kupotezeana muda na kuchezeana mwili maana yake
walitarajia ndoa,au walitarajia mengine (material wealth),
tokana na hope, au tokana na false promises.
kama huyo anae sema hawara kampotezea muda,
maybe alitaka kitu toka kwa hawara , na hakukipata.
 
Katika vyote huwa hachezewi mtu ila kichezewacho ni hisia na roho za watu ambazo hutiwa majaribuni. Mengineyo huwa ni matumizi ya viungu husika vya uzazi sema matumizi hayo yanapotupiwa mikoni mwa watu wasio sahihi ndipo tunasema umechezea mtu yaani hisia zake ulizoziamsha na kushindwa kuzitunza.
 
Teh hapo sawa....
BTW: Kongosho anataka nini??? Kachezewa?
 
Ha ha ha, afu ukome kunichezea.

Nakupiga chini.

On a serious note, naenda kumtukana huyo cheater.

Cheater yoyote anaelia kuchezewa ni MNGESE na Kicheche mwizi. Ukimwona mwambie nimemtukana eti. ***** zake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…