Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi mgogoro unakujaga unapomtoa bikra binti then baadae unakula kona kwenda kumtoa mwingine...
Huko nyuma ndo hayo maneno hufuata....
Asante babu. Nilisema kupoteza refers to muda, na kuchezewa refers to mwili.Köngosho, msome mwali vizuri. Alichosema ndicho sahihi. Na hapo kwa ufafanuzi kwa hisani ya mwali, kuchezewa haimaanishi mwili bali MUDA. Karibu Guines hapa Tongori.
Teh teh ila nao kwanini wakubali?ha ha ha ha, hao nao huwa ni noumer.
Bora umtoe afu akupige chini yeye, ila ukianza wewe lazima upate laana zote.
Mmoja anatoa kwa kusubiri malipo (reward)
wakati mwengine anaji-enjoy full time.
Ikiwa ni mapenzi ya kweli na wote wana-enjoy,
huwezi sikia msichana akilalamika kua alichezewa
Unajua 'reward' katika mapenzi nayo ni complicated kidogo.
Kila mtu anakuwa na hitaji tofauti, ila hebu rudi kwenye koment yangu uliojibu hii, nimeongeza swali hapo.
Kuna tofauti kubwa kati yaKimwili wote wanafurahia sana tu...ila km hakuna future ndo mmoja anakuwa kachezewa
Siji! na uki-insist napiga kelele, au nakutupa huko upate brain concussion!Mwali hebu njoo nikuchezee. Kongosho asijue lakini.
Köngosho, msome mwali vizuri. Alichosema ndicho sahihi. Na hapo kwa ufafanuzi kwa hisani ya mwali, kuchezewa haimaanishi mwili bali MUDA. Karibu Guines hapa Tongori.
Why not? lengo/reward sio ndoa tu, nimesema ni vingiPia Alhamis hii iliyopita, kuna mdada mke wa mtu alikuwa analalamika hawala yake anamtumia, nikamwambia kwa umri wako hutakiwi kulalamika hivi hadharani, ni aibu, wewe ni mtu mzima unajua unalofanya.
Je hata nyumba ndogo ya kike au ya kiume inachezewa/tumiwa???
Muda wa kwenda wapi?
Unakuta mtu kaolewa analia kibuzi kinamchezea?
Mtu aliyeolewa naye anapotezewa muda jamani?
Ni kweli kabisa, ila mi naongea kwa perspective ya huyo@Mwali; Kwa mfano wako hakuna alitechezewa kwakuwa aliyeandaa chakula km angelamishwa angelaumu ila kwa kuwa kakubali mwrnyewe na matatajio ya rewards hayajatimia basi imekula kwake....
Sio ya mapenzi tu.@Mwali
nadhani matarajio ya mapenzi yasipofikiwa ndo kunakuwa na kuchezeana.
Teh hapo sawa....Ni kweli kabisa, ila mi naongea kwa perspective ya huyo
anae jaribu kupata zaidi ya makubaliano.
yeye atasema kua kapoteza kuku wake, atasema kapoteza muda wake.
whether she/he is right or wrong ni suala lingine.
Mi najibu swali tu: kwa nini mtu anahisi kachezewa.