Unique Dadaz: Wako wapi hawa wanamuziki?

Unique Dadaz: Wako wapi hawa wanamuziki?

Kuna mwanamke ananipa kiwewe/ yaani mchana akikosa usiku najihukumu mwenyewe/ sumu asipewe na mwanaume mwingine anatema/ kwa kweli naona ni vyema kuweka nanga mapema
 
Unique sisters - Baishoo, Sababu Gani. Nliwapenda sana hao wadafada. Kuna wadada wengine nao wamekimbia game kama Josephine alieshirikishwa na soggy kibanda cha simu na RENEE RAMIRA alieimba "ngoma ya kwetu". Muziki wa Tanzania hauko fair kabisa kwa wadada.
muziki wa kwetu
 
Kuna mwanamke ananipa kiwewe/ yaani mchana akikosa usiku najihukumu mwenyewe/ sumu asipewe na mwanaume mwingine anatema/ kwa kweli naona ni vyema kuweka nanga mapema
Nipatie hilo Pini Mkuu nalitafuta sana bila mafanikio...Ilo Pini alichana na Hashim Dogo.

Bounce Usiku bado Mchanga mbalamwezi inawaka Bounce....Alichana na MAC D.
 
Back
Top Bottom