Unique sisters wako wapi?

Unique sisters wako wapi?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Mambo vp wakuu?naomba kuuliza,mwenye kujua hawa wadada wanandugu wanao unda hili kundi lililopata kuwika mwanzon mwa miaka ya 2000 wako wapi na wanafanya nin anijuze?
 
nadhani wawili wapo Japan, wameolewa na mmoja alijifungua mwaka jana.

Mwingine yupo Bongo anafanya kazi na kampuni za kimarekani
 
Ah kitambo unique dadaz! Last tym kuwaona waz 2007 kwny tamasha flani leaderz
 
Inawezekana maana waliishigi huko Ujapengani miaka ya 80 na huenda kuna kibabu cha kijapenga kilimzimikia mmoja wao
Hahhaaa kwa nini kibabu? Usikute kijana wa kijapenga tena mtanashati mrefu kama yule basketballer anayetesa sasa hivi
 
Kuna mcheza kikapu wa kijapenga? Na anachezea ligi gani?
Aah bana amekaa kichina china na kijapenga japenga sijui muasia nusu mi sijui wee si ndo unawajua hao basketballers...
 
Mambo vp wakuu?naomba kuuliza,mwenye kujua hawa wadada wanandugu wanao unda hili kundi lililopata kuwika mwanzon mwa miaka ya 2000 wako wapi na wanafanya nin anijuze?

Kuna mmoja alikua close sana na eddy wa itv sijui kaolewa na huyo jamaa au vp? Kama hamumjui ebu google "Unique Sisters-zaidi yako" yupo nae amemkumbatia kwa nyuma anacheza nae,mie nampenda yule mweupe kidogo mwenye kithethe(Radhia)!
 
Back
Top Bottom