Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kama Tanzania inataka kuachana na umaskini basi ni wazi unit moja ya umeme inatakiwa iuzwe sh 50 kwa matumizi ya wananchi na sh 20 kwa matumizi ya viwanda
Faida ya unit kuwa bei ndogo
Mfano kwa rate ya sasa ya umeme ni kubwa na inakuwa ni vigumu sana kuvutia wawekezaji wa viwanda vikubwa sababu gharama za umeme ziko juu na zinaongeza gharama za uzalishaji ndo maana bidhaa za Tanzania ni ngumu kupambana kwenye soko la kimataifa
Faida ya unit kuwa bei ndogo
- Ukuaji na kuongezeka maradufu kwa shughuli za viwanda
- Ukiajia wa biashara
- Kuongezeka mapato serikali