Freddie998
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 675
- 370
Nice oneKenya is at the final step towards becoming a member of the United Nations Security Council (UNSC) after beating Djibouti.
joto la jiwe ulisema Kenya haipendwi na nchi zingine za Afrika. Sasa umeamua kujificha kwa sababu ya aibu
Huyo jamaa huwa online full-timeKwa hiyo ina maana mtu asipokuepo online ni kwamba kajificha.
Huyo jamaa huwa online full-time
Hahahaha, mbona hiyo nafasi ni sawa na kuwa mwenyekiti wa EAC au SADC tu, it is" Rotational", kawaida nchi inapita bila kupingwa kuiwakilisha Afrika, yaani nchi zingine za Africa zinajitoa bila hata kylazimisha AU kupiga kura. Ukiona unapingwa na nchi zingine za Africa, hadi kulazimisha AU kupiga kura, basi ujue umuhimu wa hizo nchi katika Africa ni mdogo sana. Kweli Kenya mnafurahia kushindana na Djibouti katika International affairs?, kweli Kenya mumefilisika kiitikadi.joto la jiwe Geza Ulole wacheni kutoroka. Njooni muone
Safi sana, natumaini mtatutetea huko kwa Muzungu!
Wewe ni hater wa Kenya. TumekuzoeaHahahaha, mbona hiyo nafasi ni sawa na kuwa mwenyekiti wa EAC au SADC tu, it is" Rotational", kawaida nchi inapita bila kupingwa kuiwakilisha Afrika, yaani nchi zingine za Africa zinajitoa bila hata kylazimisha AU kupiga kura. Ukiona unapingwa na nchi zingine za Africa, hadi kulazimisha AU kupiga kura, basi ujue umuhimu wa hizo nchi katika Africa ni mdogo sana. Kweli Kenya mnafurahia kushindana na Djibouti katika International affairs?, kweli Kenya mumefilisika kiitikadi.
Unajua nchi za Afrika ambazo zimekuwa kwenye UN Security Council mara nyingi zaidi? Ethiopia-6, Ghana-6, Gabon-6, Kenya-4. Kupiga kura kwenye suala za UN Security Council ni taratibu za kila mara za AU. Ushindani ulikuwa kati ya Kenya na Djibouti. Tafakari hayo.Hahahaha, mbona hiyo nafasi ni sawa na kuwa mwenyekiti wa EAC au SADC tu, it is" Rotational", kawaida nchi inapita bila kupingwa kuiwakilisha Afrika, yaani nchi zingine za Africa zinajitoa bila hata kylazimisha AU kupiga kura. Ukiona unapingwa na nchi zingine za Africa, hadi kulazimisha AU kupiga kura, basi ujue umuhimu wa hizo nchi katika Africa ni mdogo sana. Kweli Kenya mnafurahia kushindana na Djibouti katika International affairs?, kweli Kenya mumefilisika kiitikadi.
Ukiona makampuni makubwa duniani na taasisi muhimu za ki Mataifa zinailenga nchi yako kuweka makao yao makuu basi ujue umuhimu wa nchi hiyo katika afrika ni mdogo sana.Hahahaha, mbona hiyo nafasi ni sawa na kuwa mwenyekiti wa EAC au SADC tu, it is" Rotational", kawaida nchi inapita bila kupingwa kuiwakilisha Afrika, yaani nchi zingine za Africa zinajitoa bila hata kylazimisha AU kupiga kura. Ukiona unapingwa na nchi zingine za Africa, hadi kulazimisha AU kupiga kura, basi ujue umuhimu wa hizo nchi katika Africa ni mdogo sana. Kweli Kenya mnafurahia kushindana na Djibouti katika International affairs?, kweli Kenya mumefilisika kiitikadi.