United Nations Security Council

United Nations Security Council

Kenya wins African vote to seek UN Security Council seat
Kenya has been nominated as the African candidate for UN Security Council seat after defeating Djibouti in second round of voting at the African Union headquarters in Addis Ababa.
A committee of envoys representing member states of the AU headquarters, officially known as the Permanent Representatives Committee (PRC) made the decision in a secret ballot.
Kenya will now contest at the United Nations for a one-year non-permanent seat in elections slated for next year in June.
 
Tanzania ilishaikalia hiyo seat sanaaa uwepo wetu hapo uliicost US pakubwa,
 
Hongereni bt sio mwende huko mkaendelee kutusaliti waafrika wenzenu maana ndio tabia yenu
 
joto la jiwe Geza Ulole wacheni kutoroka. Njooni muone
Hahahaha, mbona hiyo nafasi ni sawa na kuwa mwenyekiti wa EAC au SADC tu, it is" Rotational", kawaida nchi inapita bila kupingwa kuiwakilisha Afrika, yaani nchi zingine za Africa zinajitoa bila hata kylazimisha AU kupiga kura. Ukiona unapingwa na nchi zingine za Africa, hadi kulazimisha AU kupiga kura, basi ujue umuhimu wa hizo nchi katika Africa ni mdogo sana. Kweli Kenya mnafurahia kushindana na Djibouti katika International affairs?, kweli Kenya mumefilisika kiitikadi.
 
Safi sana, natumaini mtatutetea huko kwa Muzungu!

Wenyewe mnavurugana na wazungu kwa kukiuka haki za kibinadamu huko kwenu, au umesahau mnaishi kwa misaada ya hawa wazungu.
 
Hahahaha, mbona hiyo nafasi ni sawa na kuwa mwenyekiti wa EAC au SADC tu, it is" Rotational", kawaida nchi inapita bila kupingwa kuiwakilisha Afrika, yaani nchi zingine za Africa zinajitoa bila hata kylazimisha AU kupiga kura. Ukiona unapingwa na nchi zingine za Africa, hadi kulazimisha AU kupiga kura, basi ujue umuhimu wa hizo nchi katika Africa ni mdogo sana. Kweli Kenya mnafurahia kushindana na Djibouti katika International affairs?, kweli Kenya mumefilisika kiitikadi.
Wewe ni hater wa Kenya. Tumekuzoea
 
Unajua nchi za Afrika ambazo zimekuwa kwenye UN Security Council mara nyingi zaidi? Ethiopia-6, Ghana-6, Gabon-6, Kenya-4. Kupiga kura kwenye suala za UN Security Council ni taratibu za kila mara za AU. Ushindani ulikuwa kati ya Kenya na Djibouti. Tafakari hayo.
 
Hahahaha, mbona hiyo nafasi ni sawa na kuwa mwenyekiti wa EAC au SADC tu, it is" Rotational", kawaida nchi inapita bila kupingwa kuiwakilisha Afrika, yaani nchi zingine za Africa zinajitoa bila hata kylazimisha AU kupiga kura. Ukiona unapingwa na nchi zingine za Africa, hadi kulazimisha AU kupiga kura, basi ujue umuhimu wa hizo nchi katika Africa ni mdogo sana. Kweli Kenya mnafurahia kushindana na Djibouti katika International affairs?, kweli Kenya mumefilisika kiitikadi.
Ukiona makampuni makubwa duniani na taasisi muhimu za ki Mataifa zinailenga nchi yako kuweka makao yao makuu basi ujue umuhimu wa nchi hiyo katika afrika ni mdogo sana.
 
Back
Top Bottom