United Nations Security Council

Ukweli huo hapo, sio kweli kwamba AU inapiga kura kuoendeka nchi kuwakilisha Africa AU, ni mpaka itokee nchi zinazotaka, zimeshindwa kukubaliana.

Kawaida kama nchi ni "very Strong na influential" kama ilivyo Tanzania, haipati upinzani wowote, kwasababu nchi zingine zinajitoa zenyewe.

Ukiona nchi ndogo kama Djibouti inatunisha msuli kupambana na Kenya hadi kulazimisha AU kupiga kura, ujue heshima ya Kenya ktk bara la Afrika ni ndogo Sana.
 
Katika ya Kenya na Tanzania nchi gani inajulikana sana duniani?
 
Ukiona makampuni makubwa duniani na taasisi muhimu za ki Mataifa zinailenga nchi yako kuweka makao yao makuu basi ujue umuhimu wa nchi hiyo katika afrika ni mdogo sana.
sarcasm detected ....
 
Katika ya Kenya na Tanzania nchi gani inajulikana sana duniani?
Nadhani Syril Ramaphosa alielezea umuhimu wa Tanzania hapa Africa, Tanzania ikiweka jina lake, hakuna nchi yoyote ile Africa itathubutu kupambana na Tanzania.
 
Nadhani Syril Ramaphosa alielezea umuhimu wa Tanzania hapa Africa, Tanzania ikiweka jina lake, hakuna nchi yoyote ile Africa itathubutu kupambana na Tanzania.
Huwa unasema eti mmeisaidia SA kupata uhuru. Kivipi? Jambo gani kubwa mlilofanya hata kushinda Zambia ambako kulikuwa headquarters ya ANC katika kipindi cha Apartheid. Oliver Tambo aliishi Zambia akipigania uhuru. Mabeberu wa SA walirusha mabomu huko na kuua wengi. Walituma hadi jeshi huko. Zuma na Thabo Mbeki pia aliishi huko kwa muda. Zambia ndio number one Afrika nzima kupigania uhuru wa nchi karibia zote SADC mozambique,zimbabwe,Namibia, Angola, SA na kadhalika. Wacha kujisifusifu ni kama sisi hatuwezi soma vitabu vya historia. Soma hapa


Southern Africa Freedom Trail
Read in another language

Watch this page
Edit
The Southern Africa Freedom Trail is a route running through Lusaka, Zambia that leads to a number of historic sites significant to the region's anti-colonial and anti-apartheid struggles.[1]

For nearly 30 years leaders of nationalist movements from various Southern African countries used Lusaka, Zambia as a base for their respective campaigns. Leaders from South Africa, including Oliver Tambo and future presidents Thabo Mbeki and Jacob Zuma held offices in Lusaka.[2][3][4] In addition, insurgents from Zimbabwe, Namibia and Mozambique were based out of Lusaka.[5] As a result, Lusaka was the site for numerous significant meetings and policy changes, but it also became the site of raids and assassinations targeting these organisations. The Southern Africa Freedom Trail directs followers to these historic, yet often unmarked, locations.

Ukitaka kusoma yote fuata hapa
 
Wikipedia????πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Historia ya ukombozi wa kusini mwa Africa na Liberation za nchi za Africa Kama Seychelles, DRC, Uganda, South Sudan, Epicenter yake ni Tanzania, japo kuna nchi zilishiriki kwa viwango tofauti, ikiwemo Zambia, msikilize Mugabe na Kikwete
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…