joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Unajua nchi za Afrika ambazo zimekuwa kwenye UN Security Council mara nyingi zaidi? Ethiopia-6, Ghana-6, Gabon-6, Kenya-4. Kupiga kura kwenye suala za UN Security Council ni taratibu za kila mara za AU. Ushindani ulikuwa kati ya Kenya na Djibouti. Tafakari hayo.
Nation - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports | HOME
Nation.Africa brings the Latest News from Kenya, Africa and the World. Get live news and latest stories from Politics, Business, Technology, Sports and more.
Kawaida kama nchi ni "very Strong na influential" kama ilivyo Tanzania, haipati upinzani wowote, kwasababu nchi zingine zinajitoa zenyewe.
Ukiona nchi ndogo kama Djibouti inatunisha msuli kupambana na Kenya hadi kulazimisha AU kupiga kura, ujue heshima ya Kenya ktk bara la Afrika ni ndogo Sana.