United Nations Vacancy's

United Nations Vacancy's

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Please follow this link for updated vacancy's in United Nations.Bofya chini

https://jobs.un.org/Galaxy/Release3/VacancyFM/VA_Regions.aspx?lang=1200
https://jobs.un.org


Wakuu jaribu kutembelea hii site then tuma maombi yako maaaana uwezikujua bahati yako na mwisho ndugu zanguni ukifanikiwa nijulishe mkuu ili niongeze bidii kwa ndugu zetu waliobaki siyo tuwe tunaona majirani zetu tuu katika hichi chombo kwani nawewe unaweza asanteni kwa hilo!!:coffee::ranger::A S 100:
 
Don't worry i'll keep update you the new vacancy accordingly..cheers love you all my TZ's
 
Sehemu zote hizo za kazi ni 'hatari tupu'.....kila la heri wakuu!
 
Sehemu zote hizo za kazi ni 'hatari tupu'.....kila la heri wakuu!

Hapana usiwatishe wenye nia sehemu zote zenye high risk alert watu wanafanya kazi chini ya remote control nikiwa namaana security husika inakuwakila mara inatoa mwongozo wakazi ndiyo maana wafanyakazi wa UN usikii wameuwawa kwanza wanakaa kambini!hakunakutembea bila sababu yamsingi!!kilakitu kipo katika kompaund sasa hatari yake nini??ila watu wanaelewa tofauti wakidhani watapigwa mabomu and etc??
 
Ahsante sana kaka ngoja tulifanyie kazi ! i hope sijachelewa saaana
 
Back
Top Bottom