United States of Africa (USA) - 2050

United States of Africa (USA) - 2050

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Inakadiriwa ifikapo mwaka 2050, kizazi cha wa-Afrika wenye akili mgando kama ilivyo sasa kitakuwa kimetoweka. Kizazi cha wakati huo kinabashiriwa kuwa na uwezo mkubwa wa kung'amua mambo kuliko ilivyo sasa ambapo wa-Afrika wana-exhibit uwezo mdogo mno wa kupambaua mambo ikilinganishwa na watu wa mabara mengine.

Wajuzi wa mambo wametanabaisha kwamba watu wa kizazi hicho watalia sana kwa kuona jinsi rasilimali za bara lao zitakavyokuwa zimevunwa zote na watu wa kutoka mabara mengine na wao kuachiwa mashimo na majangwa hali itakayosababisha kulaani kizazi cha nyuma kwa kuruhusu wizi huo wa rasilimali kwa malipo (Mirabaha) kiduchu ambayo ni sawa na bure. Infact wangeona ni nafuu vingeachwa mpaka uwezo wa kuvivuna wenyewe utakapopatikana.

Katika hali isiyo tarajiwa, ubongo wa wa-Afrika wa wakati huo unategemewa utakuwa umeimarika kiasi cha kuweza kuona mtego wa 'Divide and rule' uliokuwa umetegwa na wakoloni wa miaka ya nyuma na kuwashika wa-Afrika wa kizazi 'kichafu' ambacho kimeteseka sana ndani ya mtego huo. Na katika kujinasua, kizazi hicho cha werevu kitakuwa na taifa moja tu, nalo ni AFRIKA.

DON FRANCIS

Update: 24/11/2018
Hatimae Rais Magufuli ameanza kunielewa


===============================
Update:02/12/2018
Julius Malema asisitiza juu ya taifa moja la Afrika lenye lugha moja ya kiswahili, sarafu moja, bunge moja na Rais mmoja, akljifunza toka kwa Gaddafi, R.I.P


================================
Update: 24/06/2019



=================================
Update: 10/07/2019



=================================
Update: 28/01/2021



=================================
Update: 29/03/2022

DRC yajiunga rasmi na jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

===========================
Update: 19/10/2022

===========================

Update: May 2023



Update : November 2024

Niger, Mali, Burkinafaso kuunda. Taifa moja, litaitwa ‘The Sahel’

 
may be UNITED STATES OF ANIMALS,KWA MAANA NYERERE ALISEMA BAADAYE AFRICA ITAKUWA SERENGETI MOJA KUUUBWA(PAMOJA NA WATU WAKE),WAZUNGU HAWATAWADHURU MAANA WATAKUUA WAMEWADHOOFISHA SANA,WAAFRIKA WATAKUWA KAMA AU NI SEHEMU YA HIFADHI TA DUNIA
 
may be UNITED STATES OF ANIMALS,KWA MAANA NYERERE ALISEMA BAADAYE AFRICA ITAKUWA SERENGETI MOJA KUUUBWA(PAMOJA NA WATU WAKE),WAZUNGU HAWATAWADHURU MAANA WATAKUUA WAMEWADHOOFISHA SANA,WAAFRIKA WATAKUWA KAMA AU NI SEHEMU YA HIFADHI TA DUNIA

2050 comment kama hizi mgando hazitakuwepo kabisa.
 
hiyo ni baada ya rasilimali zetu zote zitakapokua zmetoweka ndipo tutakapo anza kutafta altenatives jinsi ya kuendesha maisha yetu. na hapo ndipo ubongo wetu utakapo anza kufanya kazi!!!!! maana bado tumelaa.
 
Unajua hata kizazi cha sasa kinauzunika sana kwa matendo waliyokuwa wanafanya zamani akina chief MANGUNGO ......nahofia viongizi baadhi wataingia kwenye vitabu vya historia ya kuwa kiongozi vilaza kama alivyokuwa CHIEF MANGUNCO
 
Unajua hata kizazi cha sasa kinauzunika sana kwa matendo waliyokuwa wanafanya zamani akina chief MANGUNGO ......nahofia viongizi baadhi wataingia kwenye vitabu vya historia ya kuwa kiongozi vilaza kama alivyokuwa CHIEF MANGUNCO

kama jamaa kasafiri nchi za mbali mbali na kufanya safari kufika 732 kwa miaka kumi unazani hiyo rekodi ni yakitoto kwa raisi.lazima wa andikwe tu mana hana tija kwetu yeye ni ku fly tu.
 
Mara zote ambapo huwa nafikiri kuhusu Afrika huwa nashindwa kupata majibu ya hasa ni kitu gani kilichota akili zetu - nikahisi labda ni hizi chanjo chanjo ambazo huwa tunalazimishwa kuchanjwa utotoni. Badala ya kujipanga vizuri na kuungana kwa mustakabali wa kuboresha maisha na hali zetu kwa ujumla huwa tunaishia kuuana wenyewe kwa wenyewe kwa mashinikizo ya nje. Ukija kwenye uroho wa madaraka ndio usiseme - mtu hata kama anavurunda vipi hakubali hata kidogo kuwa muungwana na kuachia madaraka badala yake anaagiza vifaru vya kuua waafrika wenzake. We chukulia Nkurunzinza, CCM nk. Licha ya ukweli kwamba kuna masuala yamewashinda (kutokana na mabadiliko ya nyakati) na ukweli unajulikana wazi kuwa yamewashinda hawako radhi kukubali na kuacha mawazo mbadala/uongozi mbadala kuchukua nafasi yake (nakubaliana kabisa kuwa kuna mengi mazuri CCM imefanya kwa kipindi cha nyuma ila kwa wakati uliopo mimi naona ni busara tukawapa nafasi wengine wajaribu na tuwapime).
 
Sidhani sana kizazi kijacho nahisi kitakuwa kimepinda kuliko maelezo, kizazi kijacho mashoga watakuwa wengi maana saivi si bado wanazuia zuia , wavutabangi, walevi, machangudoa , sipendi iWe hivo ila Mimi nahisi tu
 
Kizazi cha WaTanzania wenye akili mgando kinakaribia kuanza kuondolewa OCTOBER 25.
 
Upinzani tanzania walivyoungana mwaka huu japo wengine wanekuwa kikwazo naanza kuamini amini kidogo unachokisema.
 
Africa will only remain poor no mater what. Anza kuwawaza watu unaowafahamu tu mtaani kwako na tabia zao, kizazi kijacho kweli kitakuwa tofauti lakini kasi ya wenzetu ni kali hivyo tutabaki kuwa wateja wao tu.
 
Back
Top Bottom