FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Inakadiriwa ifikapo mwaka 2050, kizazi cha wa-Afrika wenye akili mgando kama ilivyo sasa kitakuwa kimetoweka. Kizazi cha wakati huo kinabashiriwa kuwa na uwezo mkubwa wa kung'amua mambo kuliko ilivyo sasa ambapo wa-Afrika wana-exhibit uwezo mdogo mno wa kupambaua mambo ikilinganishwa na watu wa mabara mengine.
Wajuzi wa mambo wametanabaisha kwamba watu wa kizazi hicho watalia sana kwa kuona jinsi rasilimali za bara lao zitakavyokuwa zimevunwa zote na watu wa kutoka mabara mengine na wao kuachiwa mashimo na majangwa hali itakayosababisha kulaani kizazi cha nyuma kwa kuruhusu wizi huo wa rasilimali kwa malipo (Mirabaha) kiduchu ambayo ni sawa na bure. Infact wangeona ni nafuu vingeachwa mpaka uwezo wa kuvivuna wenyewe utakapopatikana.
Katika hali isiyo tarajiwa, ubongo wa wa-Afrika wa wakati huo unategemewa utakuwa umeimarika kiasi cha kuweza kuona mtego wa 'Divide and rule' uliokuwa umetegwa na wakoloni wa miaka ya nyuma na kuwashika wa-Afrika wa kizazi 'kichafu' ambacho kimeteseka sana ndani ya mtego huo. Na katika kujinasua, kizazi hicho cha werevu kitakuwa na taifa moja tu, nalo ni AFRIKA.
DON FRANCIS
Update: 24/11/2018
Hatimae Rais Magufuli ameanza kunielewa
===============================
Update:02/12/2018
Julius Malema asisitiza juu ya taifa moja la Afrika lenye lugha moja ya kiswahili, sarafu moja, bunge moja na Rais mmoja, akljifunza toka kwa Gaddafi, R.I.P
================================
Update: 24/06/2019
=================================
Update: 10/07/2019
=================================
Update: 28/01/2021
=================================
Update: 29/03/2022
DRC yajiunga rasmi na jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)
===========================
Update: 19/10/2022
===========================
Update: May 2023
Update : November 2024
Niger, Mali, Burkinafaso kuunda. Taifa moja, litaitwa ‘The Sahel’
en.m.wikipedia.org