FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #81
Ngoja waarabu wazichukue zote kwanza ndio tutatia akilihiyo ni baada ya rasilimali zetu zote zitakapokua zmetoweka ndipo tutakapo anza kutafta altenatives jinsi ya kuendesha maisha yetu. na hapo ndipo ubongo wetu utakapo anza kufanya kazi!!!!! maana bado tumelaa.
Yaani nilishangaa sana marais wa mataifa 50 kuwekwa kwenye school bus kama watoto , aiseeKwa hizi akiliza kubambikia watu kesi, kuua wapinzani na kuuza maeneo ya nchi, sahau kitu United Afrika.
Viongozi wenyewe Kama watoto wadogo.
Mara waiter urusi kupewa lecture, Mara waitwe China, Mara Uturuki,Mara Japan na wakifika uingereza ndio kabisa wanasundikwa kwenye school bus.
Viongozi wa Afrika Ni school boys.
Kuna chief mwingine tunaaye, Hangaya, Mpina atahakikisha hachomoki kwenye list chafuUnajua hata kizazi cha sasa kinauzunika sana kwa matendo waliyokuwa wanafanya zamani akina chief MANGUNGO ......nahofia viongizi baadhi wataingia kwenye vitabu vya historia ya kuwa kiongozi vilaza kama alivyokuwa CHIEF MANGUNCO