pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Sasa kama E.A yenyewe hatuskizani kila nchi na ubabe wake U.S of Afrika si ndo ndoto ya mwendaazimu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni baadhi ya watu kujiona ni bora zaidi, hasa wakenya, watu kama hao ndio kikwazoSasa kama E.A yenyewe hatuskizani kila nchi na ubabe wake U.S of Afrika si ndo ndoto ya mwendaazimu?
Tatizo ni baadhi ya watu kujiona ni bora zaidi, hasa wakenya, watu kama hao ndio kikwazo
Ni wabinafi to be frank, anaweza akakuaminisha kwamba kuzungusha kontena lako kwenye barabara ya urefu wa 1000km ni nafuu kuliko kutumia bandari ya barabara yenye urefu wa 10km, ilimradi tu afanye biashara. mara ooh.., wanataka barabara ya 500km itozwe road toll sawa na barabara ya 20km ilihali it costs far more to maintain the 500km road, hawa nao ni rwanda wanadai hivyo, ilimradi tu ionekane ni bora wapitie mombasa. Mara cow.., ubinafsi, majidai na majivuno tu..Wakenya wamefanya nini hasa kilchozuia ndoto ya E.A.C itimie?
Ni wabinafi to be frank, anaweza akakuaminisha kwamba kuzungusha kontena lako kwenye barabara ya urefu wa 1000km ni nafuu kuliko kutumia bandari ya barabara yenye urefu wa 10km, ilimradi tu afanye biashara. mara ooh.., wanataka barabara ya 500km itozwe road toll sawa na barabara ya 20km ilihali it costs far more to maintain the 500km road, hawa nao ni rwanda wanadai hivyo, ilimradi tu ionekane ni bora wapitie mombasa. Mara cow.., ubinafsi, majidai na majivuno tu..
Kwa hii spidi ya JPM Kenya mtanyoooka tuDuh!Wakenya hawataja wafanane na watz, kama E.A mnangoja nchi zingine zichukue tabia za watz ndo tufanane, ndivyo ndoto ya E.A.C itimie,mtangoja sana.Biashara ni biashara aisee,hivi mtu akipata unauziwa bidhaa kwa bei nafuu kisha aingile alete bidhaa yake sawa na hiyo lakini akushawishi ununue kwa bei iliyo juu makosa ni kwa nani?Hiyo ndo inaitwa ujanja kibiashara Kenya hamna cha mtu kungoja pesa zimfate yeye anajituma hadi azipate.Hiyo ndo tofauti kati yetu E.A na haitabadilika kamwe!
Kwa hii spidi ya JPM Kenya mtanyoooka tu
Kazi kweli kweli!!!Inakadiriwa ifikapo mwaka 2050, kizazi cha wa-Afrika wenye akili mgando kama ilivyo sasa kitakuwa kimetoweka. Kizazi cha wakati huo kinabashiriwa kuwa na uwezo mkubwa wa kung'amua mambo kuliko ilivyo sasa ambapo wa-Afrika wana-exhibit uwezo mdogo mno wa kupambaua mambo ikilinganishwa na watu wa mabara mengine.
Wajuzi wa mambo wametanabaisha kwamba watu wa kizazi hicho watalia sana kwa kuona jinsi rasilimali za bara lao zitakavyokuwa zimevunwa zote na watu wa kutoka mabara mengine na wao kuachiwa mashimo na majangwa hali itakayosababisha kulaani kizazi cha nyuma kwa kuruhusu wizi huo wa rasilimali kwa malipo (Mirabaha) kiduchu ambayo ni sawa na bure. Infact wangeona ni nafuu vingeachwa mpaka uwezo wa kuvivuna wenyewe utakapopatikana.
Katika hali isiyo tarajiwa, ubongo wa wa-Afrika wa wakati huo unategemewa utakuwa umeimarika kiasi cha kuweza kuona mtego wa 'Divide and rule' uliokuwa umetegwa na wakoloni wa miaka ya nyuma na kuwashika wa-Afrika wa kizazi 'kichafu' ambacho kimeteseka sana ndani ya mtego huo. Na katika kujinasua, kizazi hicho cha werevu kitakuwa na taifa moja tu, nalo ni AFRIKA.
DON FRANCIS
Hahaha..., tulete wadada wa kizungu toka ulaya na Marekani ili tu-flash hii mbegu ya zamani tulete mpyatunda zuri hutokana na mbegu bora! sasa hao unaowaota kuwa watakuwa na bright brain watakuwa machotara? tuanzie hapo kwanza ili labda tuanze kuwaruhusu madada zetu waangalie fursa mapema!!
'we are the images of our parents'
Mkuu leo ukiwambia watu huku Gaddafi alikuwa na lengo zuri kwa maendeleo ya bara letu watapiga kwa maneno uchwara ndio hapo utagundua kuwa uchawi wa laboratory hautaweza kuacha Africa salama labda inawezekana kweli ifikapo 2050 vijana wetu watakao kuwepo wakawa watu wa ajabu kabisa zaidi ya vizazi vilivyopita mika 50 iliyopita maana watakuwa wamelisha uchawi mzuri zaidi wa laboratory!!!!Sijawahi sikia Marekani, China au Russia zikishtakiwa mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa kibishara, kila siku ni sisi tu,mara Tanesco, mara ndege inashikiliwa Canada kwa kesi tuliyoshindwa, yaani ni sisi tu wa Afrika na utengano wetu unaotufanya dhaifu. Watu wenye nia ya kutuunganisha wanaundiwa zengwe na kuuwawa. R.I.P.Gaddafi. Long live Mugabe!
Wewe Jamaa uko vizuri sana. Nipo Arusha kama vipi siku ukipita Ar niambie nikupitishe sehemu inaitwa Mworombo upate nyama mbuzi kidogo.may be UNITED STATES OF ANIMALS,KWA MAANA NYERERE ALISEMA BAADAYE AFRICA ITAKUWA SERENGETI MOJA KUUUBWA(PAMOJA NA WATU WAKE),WAZUNGU HAWATAWADHURU MAANA WATAKUUA WAMEWADHOOFISHA SANA,WAAFRIKA WATAKUWA KAMA AU NI SEHEMU YA HIFADHI TA DUNIA
Jipe moyo wewe, usikate tamaaWewe Jamaa uko vizuri sana. Nipo Arusha kama vipi siku ukipita Ar niambie nikupitishe sehemu inaitwa Mworombo upate nyama mbuzi kidogo.
Mwaka 2050 mtoa post mwenyewe anaweza akawa bado hai. Isitoshe akili zitakuwa uji kwa richmond escrow bombadier makanikia na ukiongeza tutakuwa tumenyooshwa na jamaa. Nakwambia strike nzima inaweza kuja kuwa kama Somalia ilivyo sasahivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unashauri tufanyeje?Kuwa na USA (United States of Africa KAMWE haitawezekana kutokana na hiki.kizazi kilichopo sasa. Kumbuka kuna marais Africa ambao tayari wameshabadilisha katiba za nchi zao ili watawale 'milele' (yaani mpaka siku watakapokufa). Tukiwa na USA rais wa Africa atakuwa mtu mmoja. Rais anayetaka kutawala mpaka afie kwenye kiti kamwe hawezi kukubali kuwa chini ya mtu mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio maana Trump akawaita Shithole countriesAlianza Nkrumah na Nyerere. Bahati Nyerere alianza kwa kuiunganisha Tanganyika na Zanzibar, ilikuwa zifuate nchi nyingine za Afrika Mashariki kwa bahati mbaya tulikuwa na tofauti kubwa za kisiasa (ubepari -Kenya na ujamaa-Tanzania, wenzetu Uganda hawakueleweka) zilisababisha ndoto hii isiwe. Pia mataifa mbalimbali yalikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe (bado vinaendelea). Akatokea Gadaffi ambaye alidiriki hata kutoa rasilimali zake, lakini inasadikika alikuwa na ndoto binafsi ya kuwa rais wa kwanza wa Afrika. Kwa kuwa waheshimiwa fulani waliojua Afrika ikiungana itakuwa na nguvu sana wakaona walianzishe kwa Gadaffi, mpaka akang"olewa.
Kwa ujumla USAfrika haiwezekani lazima waafrika watavurugwa tu.