United States of Africa (USA) - 2050

United States of Africa (USA) - 2050

Julius Malema alilia taifa moja la Afrika, ataka nchi zote za Afrika ziungane na kuwa taifa moja, ametoa kilio hicho katika bunge la Afrika
 
Binafsi naamini kabisa inawezekana kwa 100% km tutakuwa na nia ya dhati ya kuungana na kuwa taifa moja...

Ila kuna wenzetu miongoni mwetu tutawaona,weusi km sisi ila mioyoni ni wazungu, na hawa ndyo wasaliti

Watu km wacongo mi siwaamini kbsa, mnaweza kupanga nao mipango jioni wakapeleka taarifa kwa mabwana zao france na ubelgiji
 
may be UNITED STATES OF ANIMALS,KWA MAANA NYERERE ALISEMA BAADAYE AFRICA ITAKUWA SERENGETI MOJA KUUUBWA(PAMOJA NA WATU WAKE),WAZUNGU HAWATAWADHURU MAANA WATAKUUA WAMEWADHOOFISHA SANA,WAAFRIKA WATAKUWA KAMA AU NI SEHEMU YA HIFADHI TA DUNIA
WEWE NA KIZAZI CHAKO CHOTE MMELAANIWA NA MWENYE ENZI MUNGU WALAHI NAKUAPIA
 
Binafsi naamini kabisa inawezekana kwa 100% km tutakuwa na nia ya dhati ya kuungana na kuwa taifa moja...

Ila kuna wenzetu miongoni mwetu tutawaona,weusi km sisi ila mioyoni ni wazungu, na hawa ndyo wasaliti

Watu km wacongo mi siwaamini kbsa, mnaweza kupanga nao mipango jioni wakapeleka taarifa kwa mabwana zao france na ubelgiji

Hiyo mijamaa itakuwa imesha fyeeekelewa mbali walahi
 
Hakuna kitu kinacho mshinda binadamu wakati wake ukifika walahi
YOTE YANAWEZEKANA WALAHI
 
Hiyo mijamaa itakuwa imesha fyeeekelewa mbali walahi
Wakongo usaliti upo kwenye damu.

Vurugu zote unazoziona leo congo chanzo chake ni usaliti ....

Kila mmoja anataka kumfurahisha mzungu na mzungu alishajua ujinga wa wakongo wa kupenda kujipendekeza kwao

Nchi yao wameiharibu leo hii imekuwa nchi ya hovyo kbsa
Ndyo hawataki kbsa kukaa, kila leo wanatafuta nafasi ya kwenda ufaransa au ubelgiji ili wawe karibu na mabwana zao
 
Hatimae Rais Magufuli ameanza kunielewa

Mkuu maono yako ni ya kuitakia mema Afrika, lakini kwa hali ninayoiona..hata ifike mwaka wa 3000 hiki kizazi hakitabadilika. Magufuli ameongea vyema lakini ona anavyopondwa na watu wake mwenyewe.

Mifano iko mingi inayoonyesha Waafrika ni kizazi kizembe ambacho hakiko tayari kubadilika.
 
Hizi akili mgando tutaziondoa taratibu but surely, JPM sio mtu wa kawaida, japo ana mapungufu yake kama binadamu ila ni mtu wa aina yake...
 
Update:02/12/2018
Julius Malema asisitiza juu ya taifa moja la Afrika lenye lugha moja ya kiswahili, sarafu moja, bunge moja na Rais mmoja, akljifunza toka kwa Gaddafi, R.I.P
 
Binafsi siion Africa ikuungana sababu hakuna Africa tena baada ya ukolini tumebaki wa Africa wafaransa, Waafrica waarabu, Waafrica wabelgium, Waafricabritish. Kifupi Africa tumegawanywa kwa tamaduni kadha wa kadha dini, mila, desturi za kigeni tamaa ya madaraka ndivyo vikwazo vikubwa vya Aftica kuungana.
 
Back
Top Bottom