Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Mkuu kama unakumbuka Uingereza waliwahi kuanzisha maandamano wakiwa na madai kama ya South Africa, maajabu yake kwa swala lile lile ila kwakua ni Uingereza wakasema wanadai ajira zinazoweza kufanywa na wenyeji zibaki kwa wenyeji.Waafrika wenyewe tunachukiana na kuogopana kama mapimbi. Angalia Afrika Kusini, na nchi zingine xenophobic unakuta wanashobokea wazungu, wahindi na waarabu lakini hawataki kuskia chochote kuhusu waafrika kutoka kwenye nchi majirani zao.
Aliyemroga Mwafrika kafia zake zamani.
Mkuu kama unakumbuka Uingereza waliwahi kuanzisha maandamano wakiwa na madai kama ya South Africa, maajabu yake kwa swala lile lile ila kwakua ni Uingereza wakasema wanadai ajira zinazoweza kufanywa na wenyeji zibaki kwa wenyeji.
Miezi 2/ 3 nyuma kwa SA wakasema hiyo ni xenophobia.
ndio...nchi za afrika huwa zinaogopa hata kufanya biashara...Naomba nchi za Afrika zifikie kataba wa kufungua mipaka na kuongeza biashara na usafiri wa watu ...Waafrika wenyewe tunachukiana na kuogopana kama mapimbi. Angalia Afrika Kusini, na nchi zingine xenophobic unakuta wanashobokea wazungu, wahindi na waarabu lakini hawataki kuskia chochote kuhusu waafrika kutoka kwenye nchi majirani zao.
Aliyemroga Mwafrika kafia zake zamani.
The idea behind a United Africa was coined by the AU through a passport which will be for all African citizens to be able to travel throughout the continent without visas. I pray that one day we will become a United Africa where there is unrestricted business and travel of goods and people. We can even develop a single continental currency, single flag, aligned policies and de facto capitals.
Hiyo itakuwa ni mipango ya kuvuruga amani kwenye nchi zenye utulivu. Kwanza hakuna kinachoweza kuiunganisha Afrika, hivyo ni jambo lisilowezekana kamwe.
Kufungua mikapa eti.. OK tuanzie na wewe, hapo mtaani kwenu practice doorless homes. Halafu tupe feedback.ndio...nchi za afrika huwa zinaogopa hata kufanya biashara...Naomba nchi za Afrika zifikie kataba wa kufungua mipaka na kuongeza biashara na usafiri wa watu ...
Unajua miungano mingi inakuwa na maana pale watu wanapokuwa na tamaduni zinazofanana tu, angalia EAC ni muungano hewa unaokutana kujadili mambo hewa huku kila nchi ikihofia nyingine, vile vile nchi wanachama wa EAC hazina urafiki wala cha undugu kuanzia serikali hadi wananchi. Watu wana hisia za utaifa zaidi na hakuna anayetaka kupoteza utaifa wake.Kweli kabisa.... Afrika haikuwahi kuwa moja, kila watu walikuwa na desturi na mila zao na miungu yao na tawala zao.
kama hauna jambo la muhimu la kusema tafazali baki na maoni yako....nchi za Europe zina practice "open borders," do you see where they are in business? United States the same... those individual states can be seen as country equivalents.. dont look at it as leaving ur door open to strangers...that is a idiotic way of looking at it ...style up banaKufungua mikapa eti.. OK tuanzie na wewe, hapo mtaani kwenu practice doorless homes. Halafu tupe feedback.
Huna point wewe. Mmeshindwa kuungana nyie na makabila hayo 41 mtaweza kuunganisha Africa?kama hauna jambo la muhimu la kusema tafazali baki na maoni yako....nchi za Europe zina practice "open borders," do you see where they are in business? United States the same... those individual states can be seen as country equivalents.. dont look at it as leaving ur door open to strangers...that is a idiotic way of looking at it ...style up bana
My friend. Mbona wazo lako united ya kufungua mipaka pekee!? Mfano system za umilki wa ardhi kati ya kenya na Tanzania ni tofauti kabisa. Tanzania is the best kwenye umilki wa ardhi. Kenya tayari walishaingia kwenye mtego wa wazungu. Largest land of kenya owned by individuals and most of them are white people.kama hauna jambo la muhimu la kusema tafazali baki na maoni yako....nchi za Europe zina practice "open borders," do you see where they are in business? United States the same... those individual states can be seen as country equivalents.. dont look at it as leaving ur door open to strangers...that is a idiotic way of looking at it ...style up bana
la si kufungua mipaka pekee yake...there are alot of significant issues that come into mind when we are tlking abt a borderless africa....ardhi ina uhusiano upi na utangamano wa nchi za afrika?My friend. Mbona wazo lako united ya kufungua mipaka pekee!? Mfano system za umilki wa ardhi kati ya kenya na Tanzania ni tofauti kabisa. Tanzania is the best kwenye umilki wa ardhi. Kenya tayari walishaingia kwenye mtego wa wazungu. Largest land of kenya owned by individuals and most of them are white people.
Malizeni matatizo ya ardhi kwanza kwenu. Maana ardhi ndiyo resource mama kwa mambo yote.
Okay what do you mean when you say united. Unajua Tanzania tupo na uzoefu wa United, nyie hamna uzoefu huo.la si kufungua mipaka pekee yake...there are alot of significant issues that come into mind when we are tlking abt a borderless africa....ardhi ina uhusiano upi na utangamano wa nchi za afrika?
hatutajua hasara bila ya kujaribu kwanza...ningependa tuige mfano wa EU...sielewi maana ya viongozi wa kiafrika wakikutana addis ababa kila uchao ila wakitoka huko hakuna chochote cha maana kinachoendelea afrika...kwa mfano afrika tuko watu bilioni na...kwa hiyo tukiungana hiyo ni market kubwa sana ya kuvutia investors na market for products..Okay what do you mean when you say united. Unajua Tanzania tupo na uzoefu wa United, nyie hamna uzoefu huo.
If your talking about merits which are demerits?
Naoumba nipatie hasara za United Countries of Africa.