United States of Africa (USA)

Hizi tunaziita Porojo na kujifurahisha
kwa sasa hakuna hilo
 
Hii sijaipenda
Ila basi bwana
hawa watu hawa!![emoji41]
 
Hiyo itakuwa ni mipango ya kuvuruga amani kwenye nchi zenye utulivu. Kwanza hakuna kinachoweza kuiunganisha Afrika, hivyo ni jambo lisilowezekana kamwe.
Hao malofa wanao ota kuziunganisha nchi za Africa ni wapuuzi ilo jambo alitatokea milele kama awana kazi au kuna ufisadi unatengenezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…