430kHivi ukishafunga router kwenye nyumba, unakuwa walipia sh ngapi kila mwezi kama huduma ya internet?
Hivi ukishafunga router kwenye nyumba, unakuwa walipia sh ngapi kila mwezi kama huduma ya internet?
Duh, Tsh 430,000/= kila mwezi!430k
Hivi ukishafunga router kwenye nyumba, unakuwa walipia sh ngapi kila mwezi kama huduma ya internet?
acha kamdanganya jamaa.430k
chief kifurushi hata cha jero unaweza kuweka kwenye router, huyo jamaa amekupanga.Duh, Tsh 430,000/= kila mwezi!
Hii inawafaa kina Moo sio sisi watu wa kawaida.
Kumbe hata mimi alikua ashanikamata,,ushamba huu jamani...!!ππππchief kifurushi hata cha jero unaweza kuweka kwenye router, huyo jamaa amekupanga.
Mie nazungumzima kifurushi unlimited kitachoniwezesha kutumia internet kwa uhuru pasi kuwaza kuisha kabla ya mwezi.chief kifurushi hata cha jero unaweza kukweka kwenye router, huyo jamaa amekupanga.
Huyo karopoka tu bila kuelewa hata mada kuu..Router ninayo uza ni ya universal inayo ingiza line..hivyo mtu ukiwa nayo unaweka line ya mtandao wowote kisha unajiunga vifurushi vya internet vya kawaida kulinga na uwezo wako baasi..hizo stori za kulipia 450k kwa mwezi ni uongoochief kifurushi hata cha jero unaweza kuweka kwenye router, huyo jamaa amekupanga.
kila kampuni ina bei zake kulingana na MBPs utakazochagua plus location uliyopo coz kuna antena pole lazima iwekwe, pia kuna installation fee.Mie nazungumzima kifurushi unlimited kitachoniwezesha kutumia internet kwa uhuru pasi kuwaza kuisha kabla ya mwezi.
Hii sio router kubwa ambapo itahitaji kufungwa na kufanyiwa configurations..ni kama simu tu inakaa hata mfukoni..na inachajiwa kama simu ni kuweka line tu na kuiwasha basi..ili kuconnect na devices zako unaenda sehem ya wifi then utaona jina la hii router then utaconnect kwa kuweka password yake baaasi kazi imeishaSasa swali,ukikanunua hako,wataalamu wa kukufungia unawapata wapi?
Router Bado ipo wadau