INAUZWA Universal 4G MiFi router inauzwa

INAUZWA Universal 4G MiFi router inauzwa

MALISA92

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
148
Reaction score
57
Jipatie Huawei MiFi router original ya 4G inayotumia line za mitandao yote Tanzania kwa bei nafuu kabisa ya Tsh 120,000/=

Tuwasiliane kwa number 0753 12 14 04 au 0658 02 03 61 kwa maongezi zaidi.
Picha zake hizi hapa.
20201227_182457.jpg
Screenshot_20201228-002015_Chrome.jpg
 
chief kifurushi hata cha jero unaweza kuweka kwenye router, huyo jamaa amekupanga.
Huyo karopoka tu bila kuelewa hata mada kuu..Router ninayo uza ni ya universal inayo ingiza line..hivyo mtu ukiwa nayo unaweka line ya mtandao wowote kisha unajiunga vifurushi vya internet vya kawaida kulinga na uwezo wako baasi..hizo stori za kulipia 450k kwa mwezi ni uongoo
 
Sasa swali,ukikanunua hako,wataalamu wa kukufungia unawapata wapi?
 
Mie nazungumzima kifurushi unlimited kitachoniwezesha kutumia internet kwa uhuru pasi kuwaza kuisha kabla ya mwezi.
kila kampuni ina bei zake kulingana na MBPs utakazochagua plus location uliyopo coz kuna antena pole lazima iwekwe, pia kuna installation fee.
hiyo router pekee haijitoshelezi kupewa huduma ya dedicated internet.
 
Sasa swali,ukikanunua hako,wataalamu wa kukufungia unawapata wapi?
Hii sio router kubwa ambapo itahitaji kufungwa na kufanyiwa configurations..ni kama simu tu inakaa hata mfukoni..na inachajiwa kama simu ni kuweka line tu na kuiwasha basi..ili kuconnect na devices zako unaenda sehem ya wifi then utaona jina la hii router then utaconnect kwa kuweka password yake baaasi kazi imeisha
 
Uwaambie na ukwel batry inakaa mda gan! Sio uwabambikie!!
Battery inakaa na charge masaa mnne.. (4 hours) ikiwa katika matumizi..kama hujaitumia muda mwingi itakaa na charge masaa 12
 
Back
Top Bottom