Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thanks friends, let me go to airtel ili nione kama nitafanikiwa.
babaubaya, je jamaa yuko mkoa gani, arusha???
babaubaya naomba price ya hizo modem kama itawezekana
Nenda pale Mlimani City kuna duka la simu karibu na lango la Shoprite supermarket zipo wenyewe wanauza elfu themaniniWaungwana
Natafuta MODEM ambayo naweza kutumia mitandao yote, yaani naweza badilisha SIM card nikatumia ama VODA, TIGO, AIRTEL au ZANTEL, any idea nitapata wapi?
kwanini usinunue yeyote alafu uchakachuliwe hapa free kwanini kusumbuka mana atakayekuuzia lazima atakuwa ametoa lock bei itakuwa juu lakini ukinunua mwenyewe ukachakachuliwa hapa ni free
Siku hizi Airtel wanauza universal