Universal Music Group: Diamond atwaa tunzo ya 6x PLATNUM award South Africa

Hongera sana kwake kijana Naseeb,

Aendelee kupambana tu milango itafunguka zaidi na zaidi.
 
Record mpya ya diamond kua mtanzania wa kwanza kupokea tuzo universal kwa Marry you huko nchini South Africa pata full story kwenye video
 
Ni tuzo tu au na mshiko mkuu?
Ukishasikia mauzo ya platinum mkuu hapo mkwanja nje nje.Hujawahi sikia album ya wasanii kama kina Jay Z wana mauzo ya platinum?Wanapiga pesa balaa
 
Hongera Naseeb .Ila sio kweli Ali kiba naye Alisha pewa
 
Waswahili wanasema Jina huumba! Diamond Platnumz na hivi sasa amegonga 6X Platinum Sales!!! Na kama certification husika ina level ya Diamond, kilichobaki ni kugonga na hiyo Diamond sales ili kukamilisha jina!

Congrats!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…