Hahaasisi tupo busy na fiesta tunazunguka kwenye basi moja kama mbuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaasisi tupo busy na fiesta tunazunguka kwenye basi moja kama mbuzi
Bibi anang'aa
Eti km mbuz....√√√sisi tupo busy na fiesta tunazunguka kwenye basi moja kama mbuzi
[emoji1] [emoji1] dah!!sisi tupo busy na fiesta tunazunguka kwenye basi moja kama mbuzi
Ni tuzo tu au na mshiko mkuu?AISEE HUYU JAMAA ANA BALAA.KILA KUKICHA ANAUWASHA MOTO....6XPLATINUM ni mauzo makubwa mnoooo.
Ukishasikia mauzo ya platinum mkuu hapo mkwanja nje nje.Hujawahi sikia album ya wasanii kama kina Jay Z wana mauzo ya platinum?Wanapiga pesa balaaNi tuzo tu au na mshiko mkuu?