Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Guys lets help each other if u hav got any assignment u have already done post it in here
unajua maana ya MSOMI na WASOMI??? aliyeandika ni mmoja mbona una conclude kwa wote????Naihurumia nchi yangu kama wasomi wenyewe ndio hawa, wanaowaza kucopy na kupaste...Ndugu yangu kasome vitabu na publications mbalimbali nasio JF. Ungeweka vizuri maelezo yako kwa mfano kushare sites za kupata online books, journals n.k ningekuona una malengo na shule. Kua makini kudisco hakutakukosa kama utatafuta shortcut za namna hii.
unajua maana ya MSOMI na WASOMI??? aliyeandika ni mmoja mbona una conclude kwa wote????
hey guys si kwamba nataka kucopy na kupaste its just that nataka nione mawazo za wa2 wengine ili nipanue knowledge nadhan mi ndo niwe mfano kuanza kutundika vi2
Guys lets help each other if u hav got any assignment u have already done post it in here