University assignments collection.

University assignments collection.

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Guys lets help each other if u hav got any assignment u have already done post it in here
 
kijana acha kudhalilisha elimu, Wewe unasubiri copy paste
Ndio sababu sikuhizi unaona vijana wanaingia kwenye interview (tena ya kozi aliyosomea) hata hawezi kujibu chochote na ana degree...kumbe ndio hivyoeeeee copy paste!!!
kwa taarifa yako dawa imesha patikana..ukicopy paste assigment ya mtu kuna program ukichukua soft copy ukaifeed... within 45seconds inaweza kukupa nani aliifanya kwa mara ya kwanza hata kama umebadilisha badilisha
ngekuwa mjanja unge toa mada hapa usaidiwe outlines then ukatafute data mwenyewe...
unafikiri degree ni rahisi...
 
ndio matatizo ya kila mtu kua admitted bila kujali viwango/
 
Mkuu shiny c,

What guys?!..in the forum there are millions of professions, also high school pupils, etc...what guys are you referring to?

Dont you think you are undermining the Education(of whichever school) by "copying" someone's else idea?
'copy and paste'...dont you think the time you can use to login and log out time, pass through all assignment done could be quite enough for you to accomplish simple assignment you have?
 
Last edited by a moderator:
Guys lets help each other if u hav got any assignment u have already done post it in here

Naihurumia nchi yangu kama wasomi wenyewe ndio hawa, wanaowaza kucopy na kupaste...Ndugu yangu kasome vitabu na publications mbalimbali nasio JF. Ungeweka vizuri maelezo yako kwa mfano kushare sites za kupata online books, journals n.k ningekuona una malengo na shule. Kua makini kudisco hakutakukosa kama utatafuta shortcut za namna hii.
 
Kazi ipo kwa kweli,ndiyo hasara ya kusoma ma-vitabu ya Nyambari Nyangwine
 
Naihurumia nchi yangu kama wasomi wenyewe ndio hawa, wanaowaza kucopy na kupaste...Ndugu yangu kasome vitabu na publications mbalimbali nasio JF. Ungeweka vizuri maelezo yako kwa mfano kushare sites za kupata online books, journals n.k ningekuona una malengo na shule. Kua makini kudisco hakutakukosa kama utatafuta shortcut za namna hii.
unajua maana ya MSOMI na WASOMI??? aliyeandika ni mmoja mbona una conclude kwa wote????
 
Shiny C umekosea kuomba assignments zilizofanywa zitundikwe jamvini nafikiri ingekuwa vizuri ukafikirisha kichwa kwa kusoma vitabu,kudiscuss na wenzake na sio kuwekew JF na kupakua tu.Wakati tupo chuo tulijitahidi kusoma zaidi kuliko kutafuniwa na kumeza kama unavyotaka sijui hata kama kuna wazo la kuweka hata maswali kwani italeta kucopy paste kwingi.Kweli Ulaya wapo mbele yetu karne moja kama bado tuna mawazo ya kufaulu mitihani kilaini laini bila kuumiza kichwa.
 
unajua maana ya MSOMI na WASOMI??? aliyeandika ni mmoja mbona una conclude kwa wote????

Mkuu LORDVILLE kwanza nikutake radhi sikukusudia kukukwanza kwani ninaposema wasomi hata mimi sikujitendea haki. Na comments yangu ilimlenga mtoa hoja na wale wenye tabia kama zake na sio wasomi wote. Nisamehe sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Si uibilizie wenzio shule huko, unawaogopa? Mwenzio nikiibilizia assignment nilikuwa naiboresha kisawasawa lazma nimpite alienipa.ofa!
 
Kaaazi kweli kweli! hivi utatoboa kweli? naona kama safari ya home hiyooo inakuja.Jiandae kurudi kitaa kama hautakomaa na kilichokupeleka huko chuo.
 
hey guys si kwamba nataka kucopy na kupaste its just that nataka nione mawazo za wa2 wengine ili nipanue knowledge nadhan mi ndo niwe mfano kuanza kutundika vi2
 
hey guys si kwamba nataka kucopy na kupaste its just that nataka nione mawazo za wa2 wengine ili nipanue knowledge nadhan mi ndo niwe mfano kuanza kutundika vi2

mawazo yako kwenye credible sources ambazo ni vitabu. Acha usanii. Kwa hiyo reference utaandikaje? Jamiiforums ni kama Wikipedia siyo credible
 
Sasa wewe tozi mbona unachemka hivi? Kwanza ni dhambi kuigilizia kazi za wenzako alafu hujasema unataka kuigilizia nini, wewe unasoma ungwini unataka asaimenti yangu mimi nasoma Geodesy itakufaa mzee? Hayo maintagresheni utayaelewa kweli?

Hebu acha uvivu tozi, soma bana
 
Kwa niaba ya wanajamiiforums nachukua nafasi hii kukusamehe mtoa mada na naomba uwaambie mods waiondoe haraka.Unafanya jamiiforums ionekane member wake wote ni kama wewe kumbe mpo wachache au maybe upo mwenyewe.
 
Ingefaa uwachague marafiki zako wakutumie kwenye e=mail yako sio jamvini. jamvi linapitiwa na wengi
 
Back
Top Bottom