- Thread starter
- #21
Wueh!😄
Sisi sasa tuna shida gani na tumekutana JF mama?
Huoni thread za vichambo humu?
Vienyeji hawatakiwi kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wueh!😄
Sisi sasa tuna shida gani na tumekutana JF mama?
Ndio ukweli wenyewe,sura ya kazi.Eti mkija msije na yule mwenzenu, ulikua sio Pisi basi kiukweli
Vienyeji wale wanasearch watakuja pm mkuu.Napenda sana harufu ya demu wa kienyeji hata papauchi zao zina taste halisi.
Sijajua kama humu JF hadi sasa kuna wa kienyeji kama yupo tafadhali karibu PM tuwekane sawa maana hata mm ni bush star.
Hongera kwa kutokutetereka!Wadau huko vyuoni Watoto wa kike hupitia sana,hebu niwachanue from my experience.
1. Nafanyiwa shopping na wazazi kuanzia viatu, nguo nk.
Picha linaanza nimetoka kijijini kuja dsm, full kienyeji, nikabahatika kupewa room main campus,weeh hao slay Queen nilipata huko, wakaanza kunicheka,viatu vyangu mwenyewe vya dukani,nguo kumbe naonekana kituko,wananiuliza hivyo ndio viatu unavaa nawajibu ndio,wanazidi kunicheka. Kumbe hivyo viatu ni vya watu wa village,nikajikaza sikuwajali.
2. Mafuta natumia baby care,miguu kumbe inakaa funny kazi za village,mikono sikutaka hata kupea mtu hi na mkono, nikaona watu wa kupaka rangi wanakuja room, wenzangu wananiambia oyaa hebu pakwa rangi uache ushamba, nikakubali, but sikukubali kuchokorwa kucha zangu na vile vifaa vyao, nilihisi ni risk.
3. Naanza kuzoea mazingira natafuta nguo kidogo za mtush,at least nisionekane tofauti, nafanya vizuri wadada wanaanza kuniongelesha na adabu, after few months nimependeza, but humble and kuangukia uongozi wa chuo, parliament nimeenda mara kadhaa na wenzagu.
4. Nilikuja kugundua weekend me hubaki peke yangu room na room zingine hali ilikuwa the same, usiku wadada wanafatwa na magari different, au wanaenda club.one day wakanishawishi niende club na wao, nikakubali, but kudance sijui kabisa.
Kufika club ile kelele nilipata huko wueeh, msichana mdogo from village nilichoka, tulipelekwa na boyfriend ya my room mate, alikuwa na gari, nikaomba nirudishwe hostel, sikuona uzuri wowote, kelele, mara ukigeuka watu wanafanya vitendo vya ajabu,uchafu kila namna, nilikuwa nahisi nimepotea.
Chakula unakula according to your pocket, boom ilinibeba na mzee alinipa support alipoweza.
Mahusiano nilikua nayo but nje ya chuo, alikuwa my village friend,but aliishi jijini, msomi mzuri, pesa alikua nayo, alinitreat vizuri na kunipenda sana mpaka namaliza chuo.
Sikuwahi date mwanachuo,sababu wana shida na wanasumbua,niliona from different relationships hapo chuoni, ujinga mwingi full utoto, kufatana kama mafala.
5. Kutravel mikoa different,bila parents kujua,very risk.hizo ni week end, room yetu me ndio nilikuwa wa kawaida sana, but wenzangu zilikuwa pisi kali hatari.
6. Now wote wameolewa wako na families, but ile room hodi zilikuwa haziishi, weekend ndio usiseme.
Walinifunza mengi mazuri, mabaya kila mtu huwa nayo.
Huwa najiuliza why nilipangiwa room ya pisi kali halafu mimi kienyeji hahaa this life no balancenikienda nao out maboyfriend zao wanawambia ukija usije na yule mwenzenu daah, nilikuwa nawaboo sitaki pombe, no clubbing na upande mwingine kienyeji,accent ndio usiseme woiii.
Vienyeji kazi tunayo.
Aliishia wapi date wako, au ulizidiwa ujanja na wa mjini?Si ninyi humu hamtaki vienyeji!
Huko mtaani pia soko ni chafu.
Am single and not searching.
Hapana Mkuu,nilihama nchi,hakuna aliekuq tayari kuacha michongo yake afate mwingine,so tukaamua kila mtu awe free.Aliishia wapi date wako, au ulizidiwa ujanja na wa mjini?
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Aje sasa mkuu,vienyeji tupo wengi,nafurahi sana nilivyo kienyeji imeniepusha na mengi.Hii ni kweli...au unataka kutuchekesha.
Wueh!
Huoni thread za vichambo humu?
Vienyeji hawatakiwi kabisa.
Kweli Mkuu,hongera unajitambua.Hizo ni nongwa za keyboard warriors wa JF...
At some point watu wote waliopo mjini, kama sio wao basi baba au babu zao walikuwa wanakimbizana na umande kileji...
Zawadi zitacome Mkuu,thanks.hongera mleta mada, ukirudi utuletee zawadi!
Why Mwaka?Ungeweka na mwaka ungesaidia sana mantiki ya post
Enyeji bhanaa sisi wazungu hupendaga hio kienyeji sanaSi ninyi humu hamtaki vienyeji!
Huko mtaani pia soko ni chafu.
Am single and not searching.
Wewe mbongo pure.Be ki
Enyeji bhanaa sisi wazungu hupendaga hio kienyeji sana