frank mkweli
Member
- Aug 9, 2013
- 92
- 12
Jamani vipi mbona sioni mkizungumzia hiki chuo?
- Ubora wa Elimu itolewayo?
- Kozi zinazotolewa ni zipi?
- Wakufunzi wake wakoje?
- Mazingira ya kusomea kwa mwanafunzi vipi?
Jamani vipi mbona sioni mkizungumzia hiki chuo?
- Ubora wa Elimu itolewayo?
- Kozi zinazotolewa ni zipi?
- Wakufunzi wake wakoje?
- Mazingira ya kusomea kwa mwanafunzi vipi?
ni muendelezo wa vyuo vya kata
Mimi ninakikubali sana UaA. Kina madoctor wa kutosha. Dr. Come and meet Dr. Mgeniesjipange una evidence..