University of Arusha

University of Arusha

frank mkweli

Member
Joined
Aug 9, 2013
Posts
92
Reaction score
12
Jamani vipi mbona sioni mkizungumzia hiki chuo?

- Ubora wa Elimu itolewayo?
- Kozi zinazotolewa ni zipi?
- Wakufunzi wake wakoje?
- Mazingira ya kusomea kwa mwanafunzi vipi?
 
Jamani vipi mbona sioni mkizungumzia hiki chuo?

- Ubora wa Elimu itolewayo?
- Kozi zinazotolewa ni zipi?
- Wakufunzi wake wakoje?
- Mazingira ya kusomea kwa mwanafunzi vipi?

Ni mojawapo ya vyuo bora nchini
 
Kiko vizuri tu Mdau,sema jina halijawa famous kama Vingine
 
Jamani vipi mbona sioni mkizungumzia hiki chuo?

- Ubora wa Elimu itolewayo?
- Kozi zinazotolewa ni zipi?
- Wakufunzi wake wakoje?
- Mazingira ya kusomea kwa mwanafunzi vipi?

Bed(common kwa kila chuo)
Hakuna kozi ya sayansi pale
Mambo ya Theology ndo nyumbani kwake
Kuna jengo la Ghorofa moja lenye vyumba kumi kama sikosei(vidogo vidogo. Na sio kigezo cha kupima ubora wa elimu)
Kuna profesa mmoja tu.(ambaye ndie mkuu wa chuo)
Jiandae kulipia ada(kama umechaguliwa pale)/kufanya usajili kila semister inapo isha na kuanza nyingine.
Mengine uta ambiwa na wanao kifahamu kile chuo vizuri.
 
Jiandae kupiga root nyingi za kwenye vipindi vya dini ya kisabato kama umechaguliwa hapo! Masuala ya power hour, uamsho na usabato kwa ujumla yamejaa utadhani ni chuo cha theology completely, ada nayo si haba 1,800,000/= tuition fees tu bado mambo mengine.
Hapo ni maumivu kwa kwenda mbele.
#eeh bila kusahau hawana lecturers wa kutosha kwa baadhi ya masomo kama English na IT kwa wanaosoma education!
 
Mimi nakikubali sana UoA. Kina phd holders wengi sana. Usijali kuhusu maprofessor kwani ni. Kazi kuona professor anafundisha mtu degree ya kwanza. Kwanza kwa level ya prof. na kumsumbua tu kumpa mtu wa first degree. Hamna research za maana za kufundishwa na profs. Hawa wa first degree masters' lecturers wanawatosha sana. Ukiona mtu ametoka UoA then ni mjinganjinga ujue ni mjinga kwelikweli.
 
ni chuo kizuri mdogo wangu niko hapo na ubora wa elimu sio majengo wala ni 2naangalia elimu inayopatika hapo na vngn umechaguliwa kwa coz ipi
 
Back
Top Bottom