kabila01
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 4,235
- 4,964
Wadau naomba nisaidieni details za University of Bagamoyo. Maana nikifungua web yao nazidi kuchanganyikiwa mara madarasa yapo mikocheni na kawe mara hostel hakuna zitajengwa miaka ijayo Bagamoyo. Hii University ipo wapi hasa inawezekana ikawa full kimeo