University of Bagamoyo

University of Bagamoyo

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Msaada kwa anayekifaham hichi chuo coz nimeomba second around bachelor of science in chemistry.. hata hivyo imebibid biombe tu coz mm nilikuwa cpend lakin tcu wamenifanya niombee na ninajua pale ndo nitapelekwa msaada tafadhari kwa anae kifaham na kuhusu hiyo coz plz msaada wenu
 
Hio course sio mbaya but ada yake hapo ni kubwa sana so ujitayarishe kulipa zaidi ya 1M ya tuition fees hata kama utapata mkopo 100%
 
Hicho chuo tatizo lake ni ada kubwa, yan ata upewe mkopo 100% bado utalazimika kulipa si chin ya M1
 
Hicho chuo tatizo lake ni ada kubwa, yan ata upewe mkopo 100% bado utalazimika kulipa si chin ya M1

Exactly,yaan ada yao ni M3 kwa mwaka wakati bodies sana sana watakulipia 1.5M kama itafika,so unatakiwa ujipange,then hakina hostel za pale,au labda saiv wawe wameshatafuta
 
Exactly,yaan ada yao ni M3 kwa mwaka wakati bodies sana sana watakulipia 1.5M kama itafika,so unatakiwa ujipange,then hakina hostel za pale,au labda saiv wawe wameshatafuta

Duuu so tuta kaa kitaa au
 
Kwa kwel hichi chuo ada yake n kubwa mno cjui wamefungulia wadosi,ila ukipangwa uhame 2 man ,n bora uende hata udom
 
Back
Top Bottom