University of Dar es Salaaam ranked best university in East Africa

University of Dar es Salaaam ranked best university in East Africa

University of Dar es Salaaam ranked best university in East Africa
April 15, 2017 Phocus

According to the latest University rankings in the world, The prestigious university once again brings honour to the state as it rankings rise up to 6th place in Africa and no. 1 in East and Central Africa with University of Capetown, South Africa topping the list as the best university in Africa.

watch the video below.

mue mnacheki na facts sio mnatukisha matango pori
ud nw haipo kenye top 30 hii video ikikua uploaded 2013 huko
 
University of Dar es Salaaam ranked best university in East Africa
April 15, 2017 Phocus

According to the latest University rankings in the world, The prestigious university once again brings honour to the state as it rankings rise up to 6th place in Africa and no. 1 in East and Central Africa with University of Capetown, South Africa topping the list as the best university in Africa.

watch the video below.

bffd2da3fc1a8fbd901197fceceb81d3.jpg
992d6d5366c2eb0f0bf8ef56bb17ca36.jpg
de1df59e2a6b060470f8e64afa58bdf6.jpg
046079c170b981d75ee7f8fe995b8766.jpg
 
Hii news ni ya 2013 haina jipya na ni uongo udsm hamna lolote lile..
 
UDSM currently ni number 6 in East Africa.

1. University of Nairobi
2. Makerere University
3. Kenyatta University
4. Egerton University
5. Moi University
6. University of Dar es Salaam.

Stop embarrassing yourself.
 
Hii ni habari mbaya sana kwa Wakenya!

Na chadema, watakufa leo kwa uchungu na roho mbaya yao, wamejaa chuki dhidi ya nchi yetu na siku zote chadema huiombea mabaya nchi yetu lkn Mungu ndiyo anazidi kutumwagia baraka!
 
Kuna taasisi nyingi zinazofanya rankings za vyuo vikuu. Na vigezo vya kila moja ni tofauti. Kwa hiyo si ajabu UDSM kuvizidi vyuo vingine vya EAC. Inategemea aliyefanya ranking na vigezo alivyoangalia.

Wewe ndiyo mtu pekee mwenye Akili AM yote, wengine wote vilaza tu wala hawaelewi hata ranking maana yake nini na vigezo gani hutumika na nani hufanya ranking!
 
Habari mbaya sana kwa majirani
mlitarajia iwe hivyo ila mmekula matapishi yenu....kwa majira ya sasa mmekamata nambari sita afrika mashariki.ivi mnasoma kweli uko jamani ama mnaimba tu bongo flava??
 
UDSM currently ni number 6 in East Africa.

1. University of Nairobi
2. Makerere University
3. Kenyatta University
4. Egerton University
5. Moi University
6. University of Dar es Salaam.

Stop embarrassing yourself.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Egerton na moi zinazidi udsm ngoja nifuatile maana nivituko
 
Geza Ulole kuna mtu huku kasema idodomya ndio chuo bora. Pita pande zile ujionee mwenyewe!
 
Back
Top Bottom