DOKEZO University of Dar es Salaam Business School (UDBS), kuvuja kwa mtihani (test) ya Information Management Systems (IM 305), uliofanyika tarehe 18/01/022

DOKEZO University of Dar es Salaam Business School (UDBS), kuvuja kwa mtihani (test) ya Information Management Systems (IM 305), uliofanyika tarehe 18/01/022

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Wakuu,

Kama kichwa cha thread kinavyosema. Siku ya tarehe 18/02/2022 Saa saba Kamili ulifanyika mtihani wa INFORMATION MANAGEMENT SYSTEMS (IM 305). Baada ya kutoka kwenye mtihani huo, wanafunzi baadhi walionekana kuwa na huo mtihani kwenye simu zao, ukionekana kupigwa picha mapema kabla ya mtihani kufanyika.

IMG-20230118-WA0008.jpg

Swali..
Alievujisha mtihani huu ni Nani?

NB: Lecture wape wanafunzi mtihani mwingine ili kuwe na fair balance ya mtihani huo.

Uthibitisho huu hapa chini.
 
Patahitaji uchunguzi wa hali ya juu sana
1.je kama umepigwa ndani ya chumba na mwanafunzi baada ya kushindwa paper na kuamua kutengeneza scandal ili ajipange!?
2.au ikawa kweli lecture katika harakati za kuandaa kuhifadhi na kuleta mtihani Kuna mahali alifeli uhifadhi na umakini ukasambaa
 
Hiyo department alikuwepo Dr Mbamba alikaa kimchongo sana, kukawa na shutuma kwamba huwa hasaiishi mitihani...alokuwa hatoi A, mwendo wa B plain na C, ila uzuri wake alikuwa hashiki watu.

Kuna Jamaa mwingine alikuwa marketing dept alikuwa anakula pisi na kuhonga mitihani, kifupi hapo hao malecturer huwa wanafanya kile wanachojisikia wao.
 
Wakuu,

Kama kichwa cha thread kinavyosema. Siku ya tarehe 18/02/2022 Saa saba Kamili ulifanyika mtihani wa INFORMATION MANAGEMENT SYSTEMS (IM 305)...
Wewe hata kuandika neno mhadhiri kwa Kiingereza huwezi, unapata wapi ujasiri wa kufahamu mtihani uliovuja? Unaweza hata kusoma ukaelewa hayo maandishi?

Lecture na Lecturer ni vitu tofauti.

😭😭
 
Wewe hata kuandika neno mhadhiri kwa Kiingereza huwezi, unapata wapi ujasiri wa kufahamu mtihani uliovuja? Unaweza hata kusoma ukaelewa hayo maandishi?

Lecture na Lecturer ni vitu tofauti.

😭😭
Sasa na wewe si ungeandika hapa hoja yako kwa Kiingereza!
 
Wakuu,

Kama kichwa cha thread kinavyosema. Siku ya tarehe 18/02/2022 Saa saba Kamili ulifanyika mtihani wa INFORMATION MANAGEMENT SYSTEMS (IM 305)...
Sasa mtihani wa tarehe 18/2/2022 ndo unatoa taarifa leo? Tena wa kozi ya 3XX (yaani kozi ya mwaka wa tatu, ambao ndo mwaka wa mwisho kwa UDBS). Yaani watu wameshahitimu wako kitaa ndo unawachongea leo?

UD hapo rushwa ya ngono imeshamiri, na UDBS kuna pisi kali kwa hiyo shukuru kuwa mtihani huu na nyie wenye mihogo mliupata. Ila pisi kali zinazotoa mizigo kuhongwa mitihani ni jambo la kawaida.
 
Sasa na wewe si ungeandika hapa hoja yako kwa Kiingereza!
Weeh! Mwenzio sithubutu hiyo lugha ndio maana nimebaki na lugha yangu tu. Sioni haja ya kuandika madudu wakati nina lugha yangu.
 
Back
Top Bottom