Omona Wanyu
Member
- Feb 29, 2012
- 51
- 6
- Thread starter
-
- #21
Mtoa mada anazo principle 2.xo hawez xoma udsm
Kijana na wewe huna tofauti na wenzio issue ni kwamba HUWEZI KUTAMBA UMEKUWA WA KWANZA KATIKA KUNDI LA VILAZA think big young boy hizo ni records tu wewe hujui hata mishahara wanayolipwa maprofesa ni mojawapo ya kigezo cha kuangalia ubora wa chuo,!
Chuo kikuu cha Dar es salaam, kwa hakika hakijafanya kama kinavotegemewa kwa kipindi cha miaka 50, kimebaki hivyo hivyo kwa kipindi kirefu, kimeshindwa kutoa wasomi na wataalamu wanaohitajika katika karne hii, wakati sayansi na teknlojia inakuwa Chuo hiki kimeendelea kutoa wataalamu walewale sambamba na vyuo vingine vilivyo anza chini ya miaka 15 iliyopita kama SAUT, SAUT ndio chuo pekee chenye idadi kubwa ya wanafunzi hapa Tanzania, na kinakuwa kwa kazi ya kongeza fani kwa speed ya ajabu, kwa hali hii watakuwa wapi miaka 35 ijayo, UDSM badilikeni muendelee mbele, hivi sasa hatutehgemei muendelee kufunza tuu walimu na wanasheria tunataka kusikia wanasayansi wa anga za juu, mabingwa wa sayansi, na vitu vinavyo fanana UDSM badirikeni hamfanani na miaka 50.
tabu ya kusoma vyuo vya kuandikiwa notice ubaoni na kutafsiliwa notice kiswahili recture na seminar hazitofautiani ndo vilivyo lemaza ubongo wako!
Ndiyo matatizo ya kuugua kifafa (lunatics diseasea) na kujifanya wajanja wa mjini.Mwezi ukiwaka sana mnajificha nyumbani ili watu wasijue kuwa unaanguka kifafa na ukishaanguka kifafa unaanza kutamba mtaani,mtanashati kumbe unatoka povu la kifafa.Arguments zako nyingi ni illussions tu .Wachangiaji wanaoipondea post yangu, siwashangai na wala siwalaumu, kwa maana kila mtu anao uhuru wa kutoa mawazo yake kwa jisi anavyoona mradi havunji sheria, as per Bill of Human Rights you have that absolute right, na kwa kutizama uelewa wenu napata picha harisi ya mindset yenu wote muna Inferiority complex inayowafanya mshindwe kuelewa mantiki ya mtu na kukimbilia kulalamika bila kuwa na sababu ya msingi, you guys are running short of reasoning compounded with poor argumentation ngoja niwasaidie the matter at issue here is
1. The University of Dar es salaam is not reflecting its fifty years of age.
2. The Institution has remained with the limited number of students while the demand kept rising.
3. Idadi ya Wanafunzi ni moja ya Indication kwamba chuo kinakua.
4. Common disciplines ndizo bado zinatolewa pale Chuoni kwa miaka nenda rudi.
Twende tukatibiwe ugonjwa wa inferiority complex na kugeuka walalamikaji siku zote bila kufanya utafiti na kuleta suruhu ya mambo.
Kwa wale Walalamikaji kwa taarifa yako am a graduate of the same institution, kwa hiyo msiwe wagonjwa wa kukariri tu kwamba kila anyekinzana na hoja anatoka upande wa pili wa mfumo.
hiyo namba mbili yako inaoyesha huna akili unataka wachukue watu wengi wakati sehemu ya kuwaweka hawana na hujui watu wakiwa wengi kuliko resource ni fujo. Hiyo namba tatu ni uwongo kaka hakuna kitu kama hicho ubora ndio unaonesha kitu kinakua, kwa hiyo shule zenye watoto wengi darasani zinakuwa? Au ndo zinazidi kudidimia. Namba nne unamaanisha discipline zipi unaposema common?, na kama ndizo zinazohitajika ? Hebu toa ushaurio na pesa ya kuanzisha kozi mpya basi we unadhani hiki ni chuo binafsi nn?wachangiaji wanaoipondea post yangu, siwashangai na wala siwalaumu, kwa maana kila mtu anao uhuru wa kutoa mawazo yake kwa jisi anavyoona mradi havunji sheria, as per bill of human rights you have that absolute right, na kwa kutizama uelewa wenu napata picha harisi ya mindset yenu wote muna inferiority complex inayowafanya mshindwe kuelewa mantiki ya mtu na kukimbilia kulalamika bila kuwa na sababu ya msingi, you guys are running short of reasoning compounded with poor argumentation ngoja niwasaidie the matter at issue here is
1. The university of dar es salaam is not reflecting its fifty years of age.
2. The institution has remained with the limited number of students while the demand kept rising.
3. Idadi ya wanafunzi ni moja ya indication kwamba chuo kinakua.
4. Common disciplines ndizo bado zinatolewa pale chuoni kwa miaka nenda rudi.
Twende tukatibiwe ugonjwa wa inferiority complex na kugeuka walalamikaji siku zote bila kufanya utafiti na kuleta suruhu ya mambo.
Kwa wale walalamikaji kwa taarifa yako am a graduate of the same institution, kwa hiyo msiwe wagonjwa wa kukariri tu kwamba kila anyekinzana na hoja anatoka upande wa pili wa mfumo.
Chuo kikuu cha Dar es salaam, kwa hakika hakijafanya kama kinavotegemewa kwa kipindi cha miaka 50, kimebaki hivyo hivyo kwa kipindi kirefu, kimeshindwa kutoa wasomi na wataalamu wanaohitajika katika karne hii, wakati sayansi na teknlojia inakuwa Chuo hiki kimeendelea kutoa wataalamu walewale sambamba na vyuo vingine vilivyo anza chini ya miaka 15 iliyopita kama SAUT, SAUT ndio chuo pekee chenye idadi kubwa ya wanafunzi hapa Tanzania, na kinakuwa kwa kazi ya kongeza fani kwa speed ya ajabu, kwa hali hii watakuwa wapi miaka 35 ijayo, UDSM badilikeni muendelee mbele, hivi sasa hatutehgemei muendelee kufunza tuu walimu na wanasheria tunataka kusikia wanasayansi wa anga za juu, mabingwa wa sayansi, na vitu vinavyo fanana UDSM badirikeni hamfanani na miaka 50.
kimeshindwa kutoa wataalamu ki vipi au una uhakika gani kwamba kimeshindwa?? na je ukubwa au umri wa chuo ndio kigezo cha elimu bora?? na una uhakika gani kwamba SAUT ndio ina idadi kubwa ya wanafunzi hapa tz?? vipi kuhusu UDOM na UDSM??? USIKURUPUKE KIJANA!!!Chuo kikuu cha Dar es salaam, kwa hakika hakijafanya kama kinavotegemewa kwa kipindi cha miaka 50, kimebaki hivyo hivyo kwa kipindi kirefu, kimeshindwa kutoa wasomi na wataalamu wanaohitajika katika karne hii, wakati sayansi na teknlojia inakuwa Chuo hiki kimeendelea kutoa wataalamu walewale sambamba na vyuo vingine vilivyo anza chini ya miaka 15 iliyopita kama SAUT, SAUT ndio chuo pekee chenye idadi kubwa ya wanafunzi hapa Tanzania, na kinakuwa kwa kazi ya kongeza fani kwa speed ya ajabu, kwa hali hii watakuwa wapi miaka 35 ijayo, UDSM badilikeni muendelee mbele, hivi sasa hatutehgemei muendelee kufunza tuu walimu na wanasheria tunataka kusikia wanasayansi wa anga za juu, mabingwa wa sayansi, na vitu vinavyo fanana UDSM badirikeni hamfanani na miaka 50.
Sioni hata cha maana ulichoandika hapa?
akili yako haina tofauti na ya mtoa mada.....mgando wa mawazo!Hoja yako ni dhaifu sana, kwa kifupi UDSM ndio chuo bora kwa TZ, Africa Mashariki na Africa kwa ujumla. Pia unapaswa kuelewa kuwa Chuo hiki kinajitahidi sana kuendeleza taaluma kwa tz licha ya fitna na hila za serikali kutaka kukididimiza.
mkuu inaonyesha hujui maana ya engineering na engineer??? sasa unaposema engineers wengi wamesoma coet au foe(zamani) una maanisha nini?? je una data??? na kuhusu hao vyura unajua waliotoa wazo kwamba wapelekwe usa ni akina nan??? jibu ni kwamba ni UDSM!! Na baada ya kurudishwa unajua sasa wapo wapi?? jibu ni kwamba wapo SUA!! au na hapo unabisha mkuu??? EMBU JARIBU KUTUNISHA MISULI YA KUFIKIRI......we unafilkiri kilitegemewa kifanye nn? unaposema kimebaki hiuvyo hivyo unamaana gani? sasa wewe kwa akili yako ndogo unajua civil saut hawajagraduate, much of engineering wa bongo wamesoma pale coet, kabla ya hivi karibuni radhi na taasiss za ufundi kuanza kutoa degree.wale chura wa kihansi waliokuwa marekani wamehifadhiwa chuo gani hapa bongo kama unajua kilaza ww ambacho unasema kimedumaa haikina wanasayansi. chuo kazi yake kutoa wataalam wanaoitajika na kwa sasa hap tz ni walimu na mahakimu ndo wanatakiwa, pamoja na hilo uliza kama hakuna graduate wa kozi zingine hapo udsm. SAUT wanafanya biashara angalia hizo college zao wanazofungua kila kona ipi mpya ambayo wamejenga zaidi ya kuweka interlectuals ktkt majengo yasiokuwa planned kwa ajili ya university kama secondary fulani tu. waulize wa mtwara, bukoba, na kwingineko walikofungua even hata hapo main compuss bado hapana ubora hawana maabara za civil wanategemea DIT. yaan idadi ya SAUTI NI QUANTITY ILA QUALITY NINA MASHAKA
akili yako haina tofauti na ya mtoa mada.....mgando wa mawazo!
Hii ndo shida ya kudumaa kwa ubongo na malaria kupanda kichwani. Hembu leta facts zako zinazoonesha udsm haiendelei, manake miaka yote ktk orodha ya vyuo bora africa udsm ndo inayoonekana kwa hapa bongo na SUA ikifuatia kwa mbali, hivyo vyuo vyenu havijulikani kabisa na havipo hata kwenye to 100
hhahahahahha umenifurahisha!!! embu rudia hizo siasa za ki**** ulizoandika hapo!!! UDSM ni bora africa nzima??? are you serious???? by the way shida sio kujulikana shida ni mchango wa chuo katika maendeleo ya jamii!!!! embu usiwe mvivu wa kufikiri!!!!Hoja yako ni dhaifu sana, kwa kifupi UDSM ndio chuo bora kwa TZ, Africa Mashariki na Africa kwa ujumla. Pia unapaswa kuelewa kuwa Chuo hiki kinajitahidi sana kuendeleza taaluma kwa tz licha ya fitna na hila za serikali kutaka kukididimiza.