ngebo
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 1,684
- 2,126
Dah master i dont mean to seem provoking ila kiukweli wanaangalia na course aise,, cause mtu utake kuhama college from udbs uende coss atleast tuna share accounts periods kwa first year so ndio maana wapo considered,,au mtu anaehama course ndani ya college yake iyo pia inafaa vizuri tu master ila kwako kweli ilionekana ni vigumu ila pia wanaangaliaga na kama umetimiza required entry za hiyo college unayotaka kuhamia cause kil college ina credit zqke unaeza kuta za college unayotaka kwenda zipo juu kuliko ulizo nazo so ndomaana wengine hukosaNiliomba sana nihamie Law toka baed lakini mwisho wa siku niliambulia manyoya.