University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Niliomba sana nihamie Law toka baed lakini mwisho wa siku niliambulia manyoya.
Dah master i dont mean to seem provoking ila kiukweli wanaangalia na course aise,, cause mtu utake kuhama college from udbs uende coss atleast tuna share accounts periods kwa first year so ndio maana wapo considered,,au mtu anaehama course ndani ya college yake iyo pia inafaa vizuri tu master ila kwako kweli ilionekana ni vigumu ila pia wanaangaliaga na kama umetimiza required entry za hiyo college unayotaka kuhamia cause kil college ina credit zqke unaeza kuta za college unayotaka kwenda zipo juu kuliko ulizo nazo so ndomaana wengine hukosa
 
Hapana mkuu nilikuwa na vigezo vyote yaani sema ndo hivyo.Kwa sasa niko mwaka wa pili naisoma hyohyo LLB baada ya kuwa nimepiga baed na kupiga kazi for some yrs now.
 
Hapana mkuu nilikuwa na vigezo vyote yaani sema ndo hivyo.Kwa sasa niko mwaka wa pili naisoma hyohyo LLB baada ya kuwa nimepiga baed na kupiga kazi for some yrs now.
Sa si unaona ulikubaliwa boss?
 
Hahaa poa boss naelewa kuna mipango na budget,,komaa upate cha ukweli kwa bei iyo eneo za ubungo ndo utapata
haina noma boss nikihitaji msaada I will check you PM
 
Kaa hostel za chuo first yr kuna vipindi hadi usikuna vingine saa moja asbh[emoji21][emoji21]
 
kama kuna manzi wa udsm anahitaji msamalia mwema wa kumhifadhi..me nipo tayari kumhifadhi..naishi ubungo karibu na chuo..aje PM
 
Survey vyumba ni uhakika? Yaani nikiwa nina cash mkononi naweza nikapata chumba siku hiyo hiyo? Madalali wa maeneo hayo wanapatikana wapi masta? Au nawewe unachukua tender?
 
Survey vyumba ni uhakika? Yaani nikiwa nina cash mkononi naweza nikapata chumba siku hiyo hiyo? Madalali wa maeneo hayo wanapatikana wapi masta? Au nawewe unachukua tender?
Uhakika ndio, ila eka kodi ya miez sita jumlisha na ya mwez mmoja ya dalali, madalali wapo kibao tu
 
Nina diploma ya sheria naweza kuomba course zipi zaidi ya barchelor of laws. Natanguliza shukrani zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea hiyo Diploma ya Sheria umeisomea chuo gani...kama ndo umeisomea sijui ZOOM andika maumivu. Maana admission LLB pale UDSM wanataka uwe na C ya English na History - O'level sasa ukiwa kampani ya Bashite labda ukasome Mbegani hukooo
 
Hahahahahahahaha...
sijasoma huko mdau. nimepangiwa bba hapo udsm, nikija naweza nikabadilisha? Au nikomae na bba?
 
Jamani kuna anaejua lolote kuhusu waliochaguliwa UDSM na kuconfirm kwamba ata soma apo,mana naona profile badoipovilevile tu na hata majina hayatolewi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…