University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Tangazo!

UDSM Graduation Tarehe 13 November!
 
Karibun nyote kwenye mahafali ya tawi la chuo kikuu cha Dar es Salaam (DUCE) siku ya 1/12/2018 ktk college Hiyo,
IMG-20181124-WA0043.jpeg
IMG-20181124-WA0035.jpeg
 
Nyahoro bado yupo?yule jamaa ni nuksi,anaingia na camera kurekodi wapiga chabo,noma sana
Ndio alimdakaga yule jamaa ya kanda ya ziwa sijui Mabula. Wana Coet mkagoma niliwaona viazi sana.
 
****BACHELOR OF COMMERCE IN ACCOUNTING ***** wakuuuu hii course ipoje na upatikanaji wake wa ajirw ukoje wakuuu?????
 
Back
Top Bottom