University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

iv jaman bachelor of Physical education and sport science,msomaji anaweza akafundishwa na masomo mengine ya Darasani kama mwalimu wa kawaida mashuleni
Ndio wanakuwa na teaching subject moja.kama sijakosea inaweza kuwa Biology/History/Kiswahili)mathematics.. afu inaitwa Bachelor of Education in Physical education and Sport sciences_BED PESS UDSM!!!
 
MiMi nimechaguliwa DUCE lakini sijatumiwa ama sijafaham naconfirm vipi maana nilichaguliwa multiply kwenye vyuo vi3 sasa

Nafanyaje ili kuweza kuconfirm kabla vyuo havijafunguliwa?

Naomba msaada.
 
Sasa hapa ndiyo nini kinafanyika kuhusu UDSM? Kama mdau naona hatukitendei haki. Pengine pangekuwa na muongozo fulani hivi bila shaka. Pakiwekwa vema panaweza kuwa eneo zuri sana kwa watu kufurahi na kukuza uelewa.
 
Kama kuna demu wa first year naomba uni tag ,chuo ni kupigana support za ki academic na kimwili [emoji1787]
 
Msaada wakuu kwa walioweza kuapply udsm merit scholarship 2019/2020 msaada mimi nimeshindwa na nahitaji!!
 
Nipo ubungo jeshini,Nawezaje kufika mabibo hostel

Wenyeji naombeni ramani.
 
Ubungo jeshini niijuayo mimi ni ya Kibangu, barabara ya Kibangu ndio kiunganishi cha Ubungo jeshini hadi Riverside ukifika Riverside hata ukimuuliza mtoto wa miaka mitano anakuelekeza Mabibo Hostel ilipo

Isitoshe Ubungo jeshini iko mbele ya Mabibo Hostel, hata kwa google map unafika...
 
Shukrani boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…