University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Mkuu kumbe unataka pisi kali. Halafu sio wewe tu wadau wengi wanadai hapo UDBS kuna pisi kali sana, hili linaukweli?
Hiiiiiii, sidhani Kama Kuna college ina Pisi za Moto Kama hapo UDBS kwingine huko Kuna shangazi zako wengi tu!!!

Nenda kasome mjomba UDSM kuingia ni raha sana ila kutoka ukileta utani First Year tu wanakula kichwa!!!!
 
Shukrani sana, nami natumaini mambo mazur
 
Safi sana Kila la heri mkuu wangu!!!

Chuo Kanuni iliyonisaidia ni hii tafuta marafiki wazuri na wenye uwezo mzuri darasani piga nao sana Disc tenga muda piga msuli Yatima Afu solve past papers Kama utapata (Maisha yatakuwa mswano tu)
 
Shukrani zaidi, naamini katika mafanikio ya kielimu, ni muhimu kuwa na watu makini zaidi.

Mungu ataitangulia safari yangu ya masomo
 
Nashindwa ku confirm wanadai code invalid tatizo nini??
Screenshot_20201110-200606_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom