University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Naomba kuuliza, TCU ilitoa fursa kwa wale wa Mwaka wa kwanza kubadilisha Program zao kwa wanaotaka, hadi leo hakuna majibu na Masomo yanaendelea , hivi kweli yatakapotoka huko anakotoka kuhamia ataweza kuyaelewa kama hakuanzi program mwanzoni na ni Kwanini UDSM haitoi majina ili wanaotaka kuhama wahamie mapema na tatizo ni nini mbona yasitoke ?
 
vuta subira pia uenunaenda kuulizia, mara kwa mara
 
Wamejibu leo
 
daaah nikikumbuka nilivo nusurika ku disco mwaka wa mwisho,acha MUNGU aitwe hivo
 
Eti waungwana..
katik requirements za kuchukua degree in computer science wanasema inabid uwe na atleast D ya math na physics kutok A-level..


swal langu ni hiv hiy D ya math ni lazima iwe Advanced math au hata BAM?
 
Samahani Naomba kuuliza, kama nimefanya course ni elective na nikapata supp.
Je naweza kuomba iyo course ifutwe kwenye kwenye Saris yangu?.
Yaan ionekane sijawahi kusoma course kama hiyo
 
 
Je chuo kikuu mmetuletea chanjo au bado mnauza zile dawa za kujifukiza?
 
Naomba msaada kwa wale wanaofahamu kuhusu kozi ya Law enforcement (BALE) inahitaji mtu mwenye ufaulu gani, nilihitimu mwaka Jana nikapata division 2-11; History E, English language C, Kiswahili B, GS B. Napenda nisome hiyo kozi ila Kuna jamaa aliniambia kwamba wanaisoma wenye division 1. Ufafanuzi tatadhali kwa mwenye ufahamu
 
Eti jamani kwa nini kozi ya Ualimu wa Hisabati na Tehama ni nzuri? Mnanisaidiaje nikasomee chuo kipi kati ya UDOM, NIT au UDSM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…