Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Sijakulaumu pia, hiyo ni reply ya kawaida tu au umekwazika bwana alumna?Read carefully, and note the context.
The comment blames no one.
karibu tunywe kahawaMimi sio mwalimu, hizo kozi nilizisoma maana wanazisoma watu wengi kuanzia wildlife sciences,marine sciences, zoology sciences wote wanasoma hizo kozi.
Nilimaliza hapo kitambo mkuu Enzi hizo ZL 121 inafundishwa na Prof. Kayombo (alikua mzee flan mcheshi sana, alikua anaingia na wheel chair ni mlemavu wa miguu), Organic Chemistry ilikua inafundishwa na Dr. Mdoe.
saiv nahangaika na familia tu[emoji23]
Nothing is easier than blaming others for your own problems
Enzi hizo kulikuwa huyo aliyejiita Mzee Punch. Nadhani alikufa. Vijana wa leo mlimkuta?
Post sent using JamiiForums mobile app
ZL watata hasa mwaka wa kwanza Mzungu Na Notochord Nyundo Na Tests Tofauti Tofauti mwaka wapili CH utaona bora urudi kijijini tu.... CoNAS wanakula vichwa sana walimu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna kozi kama ZL121 na ZL122(mzungu yule anazingua kinomaaa Prof. Howell)
Hizo kozi zinapoteza walimu sana aisee walimu wengi wanao disco kutoka CoNAS basi ZL zimechangia
Nothing is easier than blaming others for your own problems
Hizo n Anatomy 1&2wewr unasoma education eti?
ulisoma au umesoma zl 210 na 220?
Kumbe Mdoe mkongwe!?? Aliondoka kwenda wizarani Akiwa Prof... Physical chemistry Organic Dr Mgina organic2 Dr MdachiMimi sio mwalimu, hizo kozi nilizisoma maana wanazisoma watu wengi kuanzia wildlife sciences,marine sciences, zoology sciences wote wanasoma hizo kozi.
Nilimaliza hapo kitambo mkuu Enzi hizo ZL 121 inafundishwa na Prof. Kayombo (alikua mzee flan mcheshi sana, alikua anaingia na wheel chair ni mlemavu wa miguu), Organic Chemistry ilikua inafundishwa na Dr. Mdoe.
saiv nahangaika na familia tu[emoji23]
Nothing is easier than blaming others for your own problems
Dr Pratap afadhali kdg Dr Urassa Hapa Huyu Bibi 0.5/20 tumepata sanaSasa kwa wale wenzangu ambao tulikuwa tunaendelea na muendelezo wake 2010 na 220 palikuwa panachimbika kishenzi!
kuna mtu mmoja anaitwa dr Pratap siji msahau
Thank you.UDSM kwa sasa Bado Kidogoo
Sio Dr Mwita marehemu mzee wa fatigue na shrinkageNyahoro bado yupo?yule jamaa ni nuksi,anaingia na camera kurekodi wapiga chabo,noma sana
kuna vigezo cya tcu na vyaNaomba msaada ninawezaje appy udsm undergraduate ?nimemaliza kidato cha sita na vigezo vya tcu nimekidhi