mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Wazee swimming pool la UDSM huu ni mwezi wa saba halijafanyi kazi fikisha hizi salam
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko statistics kwenu kuna lecturer mmoja bongebonge hivi alitufundisha coz moja kule kwetu CASS inaitwa AS 103... Sio mzima kabisa yule. Anakuja anaanza kuandika ubaoni then anaanza kuelezea aliyoandika jamani..hajui sie wenzie vilaza wa hesabu basi tulikuwa tunatoa tu macho unatoka darasani hujaokota hata mojaMi si wa zamani sana ila kuna mmoja huyo hahaha kantesa sana asee hapo statistics, alikuwa tutorial assistant kipnd hicho. Anaitwa Loiboo sitakaa kumsahau huyu jamaa
Hee kwa mujibu wa nani?UDSM ndio chuo cha pili kwa ubora Tanzania baada ya Muslim University of Morogoro.
Hahaha,CASS ilishakufa siku hizi ni COSS na COHU. Huyo nmeshindwa kumjua kwakweli.Huko statistics kwenu kuna lecturer mmoja bongebonge hivi alitufundisha coz moja kule kwetu CASS inaitwa AS 103... Sio mzima kabisa yule. Anakuja anaanza kuandika ubaoni then anaanza kuelezea aliyoandika jamani..hajui sie wenzie vilaza wa hesabu basi tulikuwa tunatoa tu macho unatoka darasani hujaokota hata moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hee kumbe... Kwa hiyo zimekuwa college mbiliHahaha,CASS ilishakufa siku hizi ni COSS na COHU. Huyo nmeshindwa kumjua kwakweli.
Yaap,mpaka mm naondoka pale zilikuwa zimeshakuwa mbili, COLLEGE OF SOCIAL SCIENCE & COLLEGE OF HUMANITIES!!!
Aisee...hongereni . Jitahidini muwe wa kwanza Afrika kumbe mnaweza kabisa.UDSM ndio chuo cha pili kwa ubora Tanzania baada ya Muslim University of Morogoro.
Kwa mujibu was jarida la NAIROBIRAHA
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa mujibu was jarida la NAIROBIRAHA
Inamaana hukujua jambo dogo kama hilo na umeanzisha thread kama hii.Dah kumbe UDSoL ndo before ilikuaga FoL kitivo kongwe hiko
Ndo miaka yetu.Ulikuwepo hapo enzi Nicholas Kuhanga akiwa VC?
Ww ni Muhenga!! Sahv Palipokiwa na CASS Ndio COSS Afu barabara Zilipo YOMBO 4 na 5 Maeneo Hayo kuna College of Humanity CoHU na School of Education SoED nyuma ya Yombo Cafe....
Hahaa mi muhenga kabisa ulikuwa hujuiWw ni Muhenga!! Sahv Palipokiwa na CASS Ndio COSS Afu barabara Zilipo YOMBO 4 na 5 Maeneo Hayo kuna College of Humanity CoHU na School of Education SoED nyuma ya Yombo Cafe....
KIMEO CHANGU
Eti unamfahamu aron,bwire wamemaliza hapo kama sio 2009 ni 2008 daa wanatukomoa asee yaan kufundishwa na vijana ni shida halafu now wamechukua lecture mmoja hivi part time ndo anatufundisha probability yaani maksi za test 1$2 unaweza usifikishe hata mbili daaDuh,Loiboo (Masai Type 2) nimesoma nae 2008,kumbe ni ticha?[emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha,st gani hiyo!?hilo jina la bwire sio geni japo hawakunifundisha.Eti unamfahamu aron,bwire wamemaliza hapo kama sio 2009 ni 2008 daa wanatukomoa asee yaan kufundishwa na vijana ni shida halafu now wamechukua lecture mmoja hivi part time ndo anatufundisha probability yaani maksi za test 1$2 unaweza usifikishe hata mbili daa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdoe mkongwe sana tu, yule jamaa anajua chemistry utadhani chemistry ni sehemu ya ukoo waoKumbe Mdoe mkongwe!?? Aliondoka kwenda wizarani Akiwa Prof... Physical chemistry Organic Dr Mgina organic2 Dr Mdachi
KIMEO CHANGU
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Who said I had problems ,young man.
Achana nae atakua ustadhi/ustadhat kaamua kujifurahisha[emoji23] [emoji23]