University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Mi si wa zamani sana ila kuna mmoja huyo hahaha kantesa sana asee hapo statistics, alikuwa tutorial assistant kipnd hicho. Anaitwa Loiboo sitakaa kumsahau huyu jamaa
Huko statistics kwenu kuna lecturer mmoja bongebonge hivi alitufundisha coz moja kule kwetu CASS inaitwa AS 103... Sio mzima kabisa yule. Anakuja anaanza kuandika ubaoni then anaanza kuelezea aliyoandika jamani..hajui sie wenzie vilaza wa hesabu basi tulikuwa tunatoa tu macho unatoka darasani hujaokota hata moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha,CASS ilishakufa siku hizi ni COSS na COHU. Huyo nmeshindwa kumjua kwakweli.
 
Je, wangapi wanamkumbuka Prof. Mshimba - the maths legend kutoka Ukanda wa Gaza?
 
Duh,Loiboo (Masai Type 2) nimesoma nae 2008,kumbe ni ticha?[emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti unamfahamu aron,bwire wamemaliza hapo kama sio 2009 ni 2008 daa wanatukomoa asee yaan kufundishwa na vijana ni shida halafu now wamechukua lecture mmoja hivi part time ndo anatufundisha probability yaani maksi za test 1$2 unaweza usifikishe hata mbili daa

Hahaha,st gani hiyo!?hilo jina la bwire sio geni japo hawakunifundisha.
 
Back
Top Bottom