University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

mkopo upo kama umesoma government, if umepiga private hesabu maumivu, ndio course ni ngumu usiposoma, ukisoma freshi hamna jipya utafaulu sana tu
Shukrani sana Mkuu, Achana na mimi kunajamaa alipiga HGK ana CBC na O level C Mathematics, je kunaambao ulisoma nao wakitokea HGK,HGL au HKL?
 
Shukrani sana Mkuu, Achana na mimi kunajamaa alipiga HGK ana CBC na O level C Mathematics, je kunaambao ulisoma nao wakitokea HGK,HGL au HKL?
yah wapo wakiotoka HGL, mradi uwe na C ya basic maths form 4
 
Na Mwenye details za Bachelor of Science in Computer science hapo COICT aweke info zake hapa ipo vipi
Thanks in advance.
 
First selection wanatoaga tarehe ngap mwezi wa ngap[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
details gani kijana mi nmepiga bcom acc hapo, jiandae kukutana na kina Dr Siasa, Dr mahangila, Cpa Mshana, Cpa Mangesho.. mtanyooka na hiyo account
Vipi hii Bcom in Accounting, kuna watu ambao walipata 100% toka bodi ya mkopo?
 
Back
Top Bottom